Recent content by yohana charles

 1. Y

  Miradi ya NHC inafanyika kwa upendeleo

  NHC ni shirika la kitaifa,inakuwaje mkoa au mji mmoja unakuwa na miradi ya mabilioni ya shilingi inayoendelea halafu miji mingine haina hata mradi mmoja? Kuna maeneo kuna nyumba za NHC tena unakuta ni moja tu lakini inachukua miaka kukamilika wakati huko kwingine kunajengwa nyumba nyingi tena...
 2. Y

  Mhe mchungaji Peter Msigwa ambona wana wa Iringa Mjini hatukuelewi?

  Kiukweli umekuwa unajitahidi sana kupigania mambo ya kitaifa zaidi lakini jimboni kwako unakusahau..haitoshi kujivuna kwamba Iringa kuna maji ya kutosha kwa kuwa ule ni mradi uliokuwepo kabla yako,ni juhudi ya mbunge aliyekutangulia Monica Ngenzi Mbega. Kuna kero ambazo tumekuwa tunajipa moyo...
 3. Y

  Meya wa Iringa, Mkurugenzi mnafanya kazi gani? Mji unanuka kwa uchafu.!

  >>MKUU MIMI SIPIGII DEBE CHAMA CHOCHOTE,SISI TUNACHAGUA MTU ,HATUCHAGUI CHAMA...zamani na kwa sasa huko vijijin kama Isimani,Kalenga ndo bado wanaangalia kwenye kijani ndo wanapiga alama ya vema bila kujali mgombea ni nani<<
 4. Y

  Meya wa Iringa, Mkurugenzi mnafanya kazi gani? Mji unanuka kwa uchafu.!

  >>MKUU MIMI SIPIGII DEBE CHAMA,SIKU HIZI TUNACHAGUA MTU,HATUCHAGUI CHAMA...zamani sana ndo walikuwa wanaangalia kwenye kijani ndo wanapiga alama ya vema bila kujali mgombea ni nani<<
 5. Y

  Zackaria Hans Poppe na Fredrick Mwakalebela wanafaa kuliongoza jimbo la Iringa Mjini

  >>Kwa utitiri wa vyama uliopo Tz,halafu wakati wa uchaguzi kila chama kinagombea kivyake,kuiondoa CCM madarakani ni ndoto za mchana..<<
 6. Y

  Zackaria Hans Poppe na Fredrick Mwakalebela wanafaa kuliongoza jimbo la Iringa Mjini

  >> kwa wanaomjua Mwakalebela wanaelewa,miaka hii watu hawachagui chama,wanachagua mtu...Mwakalebela mwiba wao<<
 7. Y

  Zackaria Hans Poppe na Fredrick Mwakalebela wanafaa kuliongoza jimbo la Iringa Mjini

  >>Kwa utitiri wa vyama uliopo Tz,halafu wakati wa uchaguzi kila chama kinagombea kivyake,kuiondoa CCM madarakani ni ndoto za mchana..<<
 8. Y

  Zackaria Hans Poppe na Fredrick Mwakalebela wanafaa kuliongoza jimbo la Iringa Mjini

  >>mwakalebela bado ni mwiba wao,na kama unataka kuamini tuombe mungu atupe uzima 2015 kama akijitosa utaona shughuli yake na utajua who is mwakalebela<<
 9. Y

  Zackaria Hans Poppe na Fredrick Mwakalebela wanafaa kuliongoza jimbo la Iringa Mjini

  >>ni mtazamo wako tu,hakuna wa kukuzuia usifikiri hvyo<<
 10. Y

  Meya wa Iringa, Mkurugenzi mnafanya kazi gani? Mji unanuka kwa uchafu.!

  Kwa miaka kadhaa Viongozi wa Manispaa ya Iringa wamekuwa wakiongea mipango mingi ya kuifanya manispaa hiyo inawiri na kupendeza kimazingira,lakini kwa mtu anayeijua manispaa ya Iringa ambayo iliwahi kushika nafasi ya kwanza kitaifa kwa usafi wa mazingira na mara kadhaa ikishika nafasi ya pili...
 11. Y

  Manispaa ya Iringa, kutafuta wawekezaji siyo kazi ya Msigwa pekee, ni pamoja na ninyi

  Kuna siku moja nilikuwa namsikiliza Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa akizungumzia mambo mbalimbali yahusuyo Halmashauri yake. Miongoni mwa hayo ni kwamba halmashauri imetenga eneo maalum kwa ajili ya uwekezaji,akasema hawamwelewi Mhe Mbunge ambaye kwa nafasi yake ana wigo mpana wa kutafuta...
 12. Y

  Zackaria Hans Poppe na Fredrick Mwakalebela wanafaa kuliongoza jimbo la Iringa Mjini

  Kama kweli Chama cha Mapinduzi Iringa kina nia ya kulirejesha jimbo la Iringa mjini ktk himaya yao..tunaomba wafanye wawezavyo 2015 watuletee HANSPOPPE au MWAKALEBELA. Kwa sisi tulio huku mitaani wawili hao wanatajwatajwa sana,watu wanawahtaji sana na wanaamini ndio wenye uwezo mkubwa wa...
 13. Y

  Hospitali za Tanzania bwana....

  >>Daima wewe uliyeshiba huwezi kumjua mwenye njaa...Lakini kumbuka hata kama uko juu kuna kushuka pia.!
 14. Y

  Hospitali za Tanzania bwana....

  [QUOTE=Niambieni;>> kwenye msafara wa mamba na kenge wamo..unapowafanyia watu hivyo kumbuka kuna ndugu zako wanafanyiwa pia.!
 15. Y

  Hospitali za Tanzania bwana....

  Hapa niko hospitali ya rufaa Mbeya,kuna wagonjwa ambao wamefika tangu saa 1,mpaka sasa ni saa 4 bado huduma hazijaanza eti madaktari wapo kwenye kikao...kiukweli napata tabu kupata jibu kwamba..>ni kwa nini vikao vinafanyika muda wa kazi?wakti huohuo ikifika saa 6 tu watasema muda wa...
Top Bottom