yohana charles
Senior Member
- Mar 21, 2013
- 134
- 10
Kwa miaka kadhaa Viongozi wa Manispaa ya Iringa wamekuwa wakiongea mipango mingi ya kuifanya manispaa hiyo inawiri na kupendeza kimazingira,lakini kwa mtu anayeijua manispaa ya Iringa ambayo iliwahi kushika nafasi ya kwanza kitaifa kwa usafi wa mazingira na mara kadhaa ikishika nafasi ya pili...
LAKINI Iringa ya sasa inanuka,.uchafu umetamalaki as if hakuna viongozi..
Bwana Meya anasema hali hiyo inatokana na upungufu mkubwa wa vikusanyio vya taka na pia upungufu mkubwa wa magari ya kubebea taka..anasema eti wanatarajia kupata gari moja na vikusanyio vya taka vitano..JAMANI yaani gari 1 na vikusanyio taka 5 ? kweli kuna nia ya kumaliza tatizo ama hii ni blabla tu..Cha ajabu wadau wengine kama RC na DC wamekaa kimya tu...
Mungu tusaidie kusitokee magonjwa ya mlipuko maana tutakwisha.!