Kwa mtoto anayependa kusoma na iseyependa mambo mbadala anapokuwa shule, hiyo shule ni nzuri sana sana sana. Matokeo yaliyotoka ya mwisho ya kidato cha sita yanajieleza.
Kwa kifupi simu zote zenye imei tata, zimefungiwa au zipo katika hatua za kufungiwa na wahusika. Binafsi nimepatwa na kadhia hii, na hakuna ujanja zaidi ya kujipanga na kununua simu mpya OG
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.