Duu,,, wanaofaidi ni wenye watu wa juu,, kama huna ndugu jamaa mwenye cheo utazunguka nchi nzima kuomba kazi ila utarudi na vyeti vyako home,,, vijana tumesoma lakin wazazi wa Hali ya chini walio tupeleka shule wakiamin tutaleta mabadiliko ya kiuchumi kuwainua nyumbani wanaona hakuna walicho...