Recent content by yjuma2000

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Repair ya welder

    Nawezaje Ku bypass switch ya welding machine moto ui gie direct?
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?

    J Jamani nashukuru kwa michango yenu.Lakini hili ni tatizo limenisumbua muda mrefu na msichukulie kiwepesi.Nitaridhika roho yangu iwapo nitajibiwa kwa dalili aitha za biblia au quran.Mimi sijisemeshi mwenyewe bali sauti hii huniteka nyara na kuongea.Yaani ina ni override.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kusikia sauti ndani yako

    Wakati ikiongea hunitumia mimi mwenyewe kwa hivyo huwa kama ni mimi.Naweza fikiria jambo akalijibu aitha ndani kwa ndani au kwa mdomo wangu mwenyewe.Ajabu siwezi kujadiliana naye.kamwe hanijibu,lakini anajibu wazo langu.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Kusikia sauti ndani yako

    Wala si ugonjwa.mimi ni mzima na mtu hawezi kujua yanayo nifanyikia mpaka nimweleze.Huyu anaeongea huchukua kama nafasi ya Mungu.Huniambia maneno ya kuniliwaza na kunipa matumaini.Naogopa asije kuwa ibilisi anipoteze.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kusikia sauti ndani yako

    Kuna kitu kinachoongea ndani yangu ndani kwa ndani au kwa mdomo wangu.sijaelewa ni nini.
Back
Top Bottom