Recent content by YJS

  1. YJS

    JamiiForums Tanzania Nipe orodha ya mazao ya bustani ya miezi 2/3

    Ntana bwawe..hangi weye
  2. YJS

    JamiiForums Tanzania Nipe orodha ya mazao ya bustani ya miezi 2/3

    Nahisi mnavu pia na mgagani umevisahau hapoo
  3. YJS

    JamiiForums Tanzania Nipe orodha ya mazao ya bustani ya miezi 2/3

    Haya wa kwetu....Hanginyue...
  4. YJS

    JamiiForums Tanzania Nipe orodha ya mazao ya bustani ya miezi 2/3

    Lazima utakuwa mtu wa tanga...kama sio mzigua sijui...nkhoko tamu sana ikipata nazi..lol
  5. YJS

    JamiiForums Tanzania Jipatie kuku wa mayai (layers)

    naam niunganishe hamna shida,
  6. YJS

    JamiiForums Tanzania Jipatie kuku wa mayai (layers)

    bei ya kifaranga ni sh ngapi, asante kwa majibu mkuu
  7. YJS

    JamiiForums Tanzania Jipatie kuku wa mayai (layers)

    habari wana jamii forum. nahitaji vifaranga 500 wa mayai (layers), mwenye ujuzi wa wapi nitapata vifaranga wazuri na bei ya kifaranga ni sh. ngapi naomba anisaidie majibu. nipo Dar es salaam asante sana.
  8. YJS

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    samahan wakuu, bei ya kifaranga cha layers sasahivi ni kiasi gani, kwa kifaranga kimoja thanks.
  9. YJS

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    labda mkuu utusaidiee viip mayai yako unakula mwenyewe au unauza?? kama huyu jamaa kasema wapi utauza mayai ya kuku chotara au hao kuloier...yeye anajua mayai ni ya layers tu..hahahaa
  10. YJS

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    unajua kufuga ni passion... mimi naona yeye passion yake ni layers na broilers, wapo wengine passion yao ni kufuga chotara, kanga, au bata kuna facts nyingi sana zinazomfanya mtu afuge kitu flani, ila mjasilia mali siku zote huwa ni opportunistic, huwa tunaangalia soko lako linataka nini ndio...
  11. YJS

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    may be hii link ya wikipedia itakusaidia List of chicken breeds - Wikipedia
  12. YJS

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    bro kuku wapo wa aina nyingi sana, kuna pure breeds super hybrids na hybrids na siku zinavyozidi kwenda tutapata aina nyingi zaidi za kuku, kwa sbb wataalamu wana cross hizi pure breeds ili kupata hybrids ambao wanasifa nzuri zaidi..(thanks to genetics) lengo la kufanya crossing ni kupata...
  13. YJS

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    layers ni kuku mzuri kufuga broiler ni kuku mzuri kufuga chotara/kuloier ni kuku mzuri kufuga indigenous kienyeji pia ni wazuri.. inategemea na ujuzi wako passion yako eneo ulipo, i mean soko lako mtaji wako na muda wako elimisha watu na usiponde eti kuku flani ni mbaya huyu mzuri.
  14. YJS

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    wewe document zipi za mahesabu umeleta zaidi ya kueleza sijui wana ukuaji hafifu hamna anaekula mayai ya chotara, mahesabu yapi umeleta mzee? acha upotoshaji hivi unajua broiler wa wiki 8 gharama yake ni kubwa kuliko chotara wa miezi 5 na bado chotara anauzwa si chini ya 10000 per kichwa wakati...
  15. YJS

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    hebu tuambie unaelewa nini kuhusu biashara ya kuku mzee, mimi mwenyewe ni mfugaji wa hawa ndege na naijua hii biashara vzuri acha kupotosha watu...futa thread hiyo
Back
Top Bottom