Recent content by yify

  1. Y

    Kwanini "Colleges" na "Institutes" zina gharama za juu za hostel?

    hata wewe hi post haikuhusu unaweza ukapita hivi ili upunguze shombo..
  2. Y

    Kwanini "Colleges" na "Institutes" zina gharama za juu za hostel?

    Husika na kichwa cha Uzi apo juu. Kam mfatiliaji wa mambo ya chuo utagundua vyuo vingi vya serikali haswa institute hizi au college gharama za hostel zipo juu sanaa. Mfano IFM, CBE na TIA gharama zao kwa mwaka ni 450,000 huku vyuo kam Mzumbe, UDSM gharama zao zipo chini sana ni 120,000 kwa...
  3. Y

    GE2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

    haya sasa wamepata majimbo yote na kata karibia zote sas tunatarajia Tanzania kam ulaya kam wanavyosema haya kazi kwenu...
  4. Y

    IFM hawajapeleka maijina NACTE

    wanakela sanaa yaan huu mfumo unamatatizo mengi sanaaa
  5. Y

    IFM hawajapeleka maijina NACTE

    Wengine mpaka Leo hatujapata
  6. Y

    IFM hawajapeleka maijina NACTE

    Connection???? Kivp mkuu
  7. Y

    IFM hawajapeleka maijina NACTE

    Eeh nasikia wanafanya hivi ili uendelee hapohapo yaan muda wa udahili ukiisha wanakwambia uendelee chuon humohumo kwahy wanakulazimisha usome hapo wanazingua kwel yaan
  8. Y

    IFM hawajapeleka maijina NACTE

    IFM mpaka leo bado hawajapeleka majibu ya Diploma kwa waliopata sap na matokeo yametoka toka tarehe 3 mwezi huu wa kumi sijajua sababu nini lakini ukiwauliza wanasema watapeleka wakat dirisha la awamu ya Pili inakalibia kufungwa kwahiyo hawatawez kuanza chuo kwa mwaka huu kitu ambacho si kizuri...
Back
Top Bottom