Recent content by YHK geneous

  1. YHK geneous

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kike wa kudate nae tuenjoy maisha

    Ukipata wengi npunguzie na mm....
  2. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kuendesha malori, Semi, Actroce au magari ya mafuta

    Mm naweza kaka! Naomba unisaidie connection...
  3. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Sawaa ndugu nimekuelewa...
  4. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Sawa! But kikubwa tupate elimu jinsi ya kufanya ili tufikie malengo...
  5. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Samahani sana naomba kuuliza, vipi ambao mmefanikiwa kuweka profile zenu hapa mmefanikiwa walau kidogo kuitwa kwa hatua zingine zaidi?...
  6. YHK geneous

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kuondokana na uraibu wa kupenda makalio makubwa

    Wapo wapi mkuuu? Mm natamani kuwajua...
  7. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Npoo Dar es salaam... mbagala area!...
  8. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Hizoo ndo zipi ndugu?🥹🥹
  9. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Asantee sana...
  10. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Jinsi ya kuwa mwanatenda Jinsi ya kuandaa documents Jinsi ya kubid Jinsi ya kupambana n kupata tender...
  11. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Tafadhali nisaidie mkuu...
  12. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Elimu kubwa sana hii... karibu sana npo tayari kujifunza...
  13. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Watu wapo bize na ajira... wanashindwa kutupa info kuhusu hizi tenda au zabuni...
  14. YHK geneous

    JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu tenda mbalimbali za serikali au sekta binafsi

    Habari wana jukwaa. Vile ambavyo jukwaa hili limekuwa likijulikana kama jukwa la tenda na ajira, Maranyingi huwa huwa zinatangazwa nafasi za ajira mbalimbali. Lakini leo nawaomba tujumuike pamoja kujadili na kuchambua fursa mbali za tenda au zabuni. Tenda au zabuninyingi sana zimekuwa...
Back
Top Bottom