Naitwa YESE HUMPHREY ni mfanyabiashara wa mazao nasafirisha kutoka mbeya kwenda mikoani Kwa mwenye uhitaji wa mazao ya chakula anaweza kunicheki hata kilo 10 tunasafirisha.
Pia tunatengeneza vyakula vya mifugo Kwa gharama nafuu Kwa ndugu wafungaji mnahitaji kufuga bila gharama mnaweza...
Wengi wetu tunafahamu athari za punyeto kwenye Afya zetu ila hatujui vitu vya kuzingatia Ili kuondoa Madhara haya, kama ingekuwa ni mimi niliye pata Madhara hayo ningefanya mambo yafuatayo Ili nirudie uimara wangu;
1. Ningeacha kabisa Kuangalia video za ngono, hivyo kuiacha punyeto mazima...
Ilikuwa ni usiku wa tarehe 30/3/2022. Muda wa saa 4:15 usiku ambapo mke wangu alipata uchungu na alikuwa tayari kwa ajili ya kujifungua. Usiku huo ulikuwa ni usiku usiosaulika katika maisha yangu kutokana na misukosuko mingi sana ambapo tulikutana na changamoto nyingi. Changamoto nyingine...
Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa. Pia bawasiri unaweza kusababisha kujitokeza kwa kinyama kwenye njia ya haja kubwa au puru.
AINA ZA BAWASIRI.
Kuna aina mbili za bawasiri nazo ni
1. Bawasiri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.