Recent content by yellow wall

  1. yellow wall

    Klabu ya Bayern Munich yamtimua wake Kocha Carlo Ancelotti

    Nini itakua hatma ya james pale munich wadau?
  2. yellow wall

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    England sina timu mkuu ila haina maana kwamba ligi siifuatilii
  3. yellow wall

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Madhaifu makubwa ya liverpool yapo kwenye set pieces na wale jamaa ni wazuri sana upande huo. Licha ya kwamba wanaonekana ni underdogs lakini kikosi chao some how ni kizuri japo attacking line yenu ni bora zaidi. Wamewapoteza Sebastián rudy na Niklas sule wote wameenda bayern lakini nao...
  4. yellow wall

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Kuna post huyo mwana aliandika hapo nyuma akimuelezea dembele, kuna mahali akasema alitoka Marseille kabla ya kuja dortmund ndio nikamsahihisha kwamba alitoka Rennes na sio Marseille
  5. yellow wall

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nadhani ulikua unamaanisha Rennes
  6. yellow wall

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Yah, ndio maana nimemshangaa huyo mwana yupo radhi atoe hyo hela kwa Aubemayang kuliko dembele.
  7. yellow wall

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mkuu unamfananisha PEA na dembele?
  8. yellow wall

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    £66 mill kwa Leipzig ni kama tone la maji baharini, ukitaka kumtoa mchezaji Leipzig usitumie kigezo cha pesa, pale pesa ndio imelala.
  9. yellow wall

    UEFA 2017/2018 kutawaliwa na timu za uingereza,uholanzi na ufaransa!!

    Mkuu unaonekana upo mbali sana na suala la usajili au we ni mfuatiliaji wa epl tu, Bayern wameshasajili Toliso, james, Rudy na beki ya kati sule Dortmund tumemsajili Toprak, dahoud, max Phillip na zagadou toka PSG.
  10. yellow wall

    Football made in Germany (Bundesliga) special thread

    OFFICIAL: Köln complete the signing of Jorge Meré from Sporting Gijon on a five-year deal until 2022.
  11. yellow wall

    Football made in Germany (Bundesliga) special thread

    Darmstadt have completed the signing of Artur Sobiech from Hannover on a two-year deal until 2019.
  12. yellow wall

    Football made in Germany (Bundesliga) special thread

    OFFICIAL: Leverkusen confirm Javier Hernandez has joined West Ham subject to a medical.
  13. yellow wall

    Football made in Germany (Bundesliga) special thread

    Schmelzer possibly missing a few weeks While there is no real confirmation about Marcel Schmelzer’s injury, multiple outlets are suggesting that he might miss 3-4 weeks with torn ligaments in his ankle. The injury occurred during a training session in China. There are currently no plans to buy...
  14. yellow wall

    Football made in Germany (Bundesliga) special thread

    U21 Euros The group stage of the U21 Euros are concluded as well with four teams advancing to the semifinals on Tuesday. England, Spain and Italy all won their group while Germany advanced as the best second placed team. Now England will take on Germany and Spain will play Italy for a place in...
  15. yellow wall

    Football made in Germany (Bundesliga) special thread

    ConFed Cup The group stage-games of the ConFed Cup are done and now that means onto the semifinals for the four teams that qualified. Both BVB-players (Raphael Guerreiro/Portugal and Matthias Ginter/Germany) in the tournament were able to advance with their teams and even win their respective...
Back
Top Bottom