Recent content by Yehoyada Yedidia

  1. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Anayedhani mgombea mwenza CCM ni msafi basi hajajua mambo haya!

    Moto wa kisiasa unaoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ukiukwaji mkubwa wa kanuni, taratibu na desturi za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa urais haujazimika—bali sasa unawaka kwa nguvu mpya. Ndani na nje ya chama, presha imepanda. Wana CCM waaminifu na wananchi kwa...
  2. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yesu hakuwatukana Watawala. Hata aliposikia Yohana amekatwa kichwa, alinyamaza. Kwanini?

    Unasoma Biblia gani? Yesu alimuita Mfalme Herode Mbweha.
  3. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

    Unaweza kuangalia Live kwenye Youtube yake muda huu link hyo hapo https://www.youtube.com/live/NhpB9Zh2_6Y?si=uZS3utczNbmB1b1A
  4. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tafakuri ya kisiasa na kijasusi; Majibu ya kitoto kwa hoja nzito za Askofu Gwajima

    Siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita (24 May 2025), Askofu Josephat Gwajima—Mbunge wa Kawe na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM—alizungumza na waandishi wa habari na kutoa kauli nzito juu ya matukio ya utekaji yanayoendelea kushamiri nchini. Kwa maudhui na uzito wa kauli yake, hii haikuwa tu hotuba...
  5. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hili, Bishop Gwajima kathibitisha yeye ni akili kubwa

    Gwajima the next level
  6. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Mbunge Gwajima alitudanganya tufungue Akaunti NMB ataweka fedha za ukarabati wa barabara

    Kuna baadhi ya mambo kama mwanaume ukiyalalamikia unaonekana kama una shida ya kijinsia. Gwajima ndio mbunge pekee ambaye kazi zake zimeonekana.
  7. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Gwajima kuwa CHADEMA hapo nabii anatakiwa kuvaa miwani kabla ya kuota. Useme jamaa ana nguvu na ana watu. Kupewa bendera ya mbogamboga atawaenyesha sana upinzani. Wacha tuone mambo yataendaje lakini pangekuwa patamu sana. Lissu Vs Gwajima hatari sana.
  8. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Duh...we jamaa unajua mambo mengi hivi. Ongeza paragraph nyingine
  9. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Yawezekana
  10. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Kwani Kwani Jimbo liko JF?
  11. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    D DOgo hajawahi kuwa na adabu
  12. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua...
  13. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

    Maombi ni maombi
  14. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

    Watu mliokulia facebook mna tabu sana. Huku ni intellectuals pekee sio tu bando
  15. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

    Sasa unamuonea wivu mwanaume mwenzako sio maadili ya kiafrika hayo
Back
Top Bottom