Recent content by Yegoo

 1. Yegoo

  Mbowe, mkanye Lissu

  Haijalishi alipigwa ma bomu kiasi Gani Muhimu kwake ilikua Ni kushukuru kMungu kwa kumponya na
 2. Yegoo

  Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

  Kama Karma haijarudia CCM na watawala wake Kwa Hayo uliyoyataja!! Wapo Ambao karma inawashughulikia na sio CCM NA WATU WAKE MUNGU HANA SHEMEJI
 3. Yegoo

  Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

  Kama mbowe aliweza kumzunguka Dkt Silaa kwenye sakata la Kunipokea EL Na akakiri kuwa Yeye Ndo Alibadili Gia Angani!! Mbowe mfanyabiashara WA kisiasa Awezi kukubali Chadema kinaenda kuwa TLP Wakati ashapiga hesabu ya Wabunge 20 mpaka SASA!!
 4. Yegoo

  Wasafi TV imezipiga bao TV zote nchini, Tumewasha Tigo Tour na anguko la Tigo Fiesta

  Hata wasafi nao wanazidi kuwa wabunifu pia Mfano walikuja na vipindi vyao kuonekana live kupitia youtube kitu ambacho clouds hawakuwa Nacho labda liwe tukio muhimu Kubali kataa clouds haina ubunifu tena
 5. Yegoo

  Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

  Maamuzi yametoka Kwa Mwenyekiti full stop Kuna mchezo unaigizwa hapa,na Hata kama mnyika hajui, Mwenyekiti kashafanya maamuzi kuokoa chama kisife Imepita hyo
 6. Yegoo

  What went wrong with Harmonize

  Jukwaaa linamuhusu kisheria za Jf Alafu tambua cerebrite wapo Kwa Ajili ya mashavuni,kufatilia kazi zao,Maisha Yao, na shida zao Asipofatiliwa pia Sanaa yake Inakufa
 7. Yegoo

  Nilikuwa mmoja wa wale watoto machokoraa Mwanza mwaka 2010/2011

  Hadithi nzuri mwenzio kawa Mbunge Cc Erick Shigongo
 8. Yegoo

  Honestly, kungekuwa na "room" ya "legal challenge" ya matokeo ya kura za Urais, Magufuli (JMT) Hussein Mwinyi (Z) wasingekuwa Marais sasa...!!

  Kwa takwimu zipi?? Zile poll za Jf Au za tweet ambazo watu walikua wanatweet yuko Bangladesh au kule Cambodia
 9. Yegoo

  Kuna nini kati ya CHADEMA, Marekani, Ujerumani, Ubelgiji, Amnesty International na Kenya dhidi ya Usalama wa Tanzania?

  Uzalendo ni kukimbilia Ulaya na kuwaomba wazungu wakusaidie You are wrong brother Narudia tena historia ni mwalimu
 10. Yegoo

  Kuna nini kati ya CHADEMA, Marekani, Ujerumani, Ubelgiji, Amnesty International na Kenya dhidi ya Usalama wa Tanzania?

  Umewahi kujiuliza kwanini?? Rafiki yako akiingilia maisha yako binafsi na hadi ya familia yako na mkeo kuanza kutoa sifa nzuri za rafiki yako Urafiki hupungua na kupelekea kufa kabisa
Top Bottom