katika chaguzi zilizopita za viongozi mbali mbali ukiwezi wa rais karibu wagombea wengi kama siyo wote wamekuwa wakiombwa eidha na chama au watu mbali mbali kugombea urais. nitatoa mifano. Mwalimu na baba wa taifa letu J.K NYERERE ,aliombwa na chama chake TANU wakati ule kugombea Urals pamoja...
Tunawapongeza TCD na mheshimiwa rais kwa kufikia muafaka kuhusu bunge la katiba. Cha kujiuliza, je ilikuwa ni busara kusubiri mpaka mvutano uwe mkubwa ndo tutafute muafaka? Watu mbali mbali wamekuwa wakishauri kuhusu kusitisha bunge la katiba ili kupata maridhiano kwanza ndo liendelee lakini...
KWA NINI CHADEMA TU? kwa mfano baba wa taifa alikuwa mwekiti awamu ngapi ? mbona sisi tunaoshabikia hatukuhoji ? pro. Lipumba ana awamu ngapi .mbona hatuhoji? cheo, mrema? why CDM ,why mbowe? Ninachokiona baadhi yetu tunaona cdm inapaa. hivyo tunaomba siku moja kiharibikiwe. lakini tukumbuke...
Matukio haya ya siku nyingi mbona uchaguzi umekaribia ndo yanaibuka? mchange leo ni polisi jamii? Mbona polisi mpaka leo hawajatoa hoja yoyote kuhusu hili huu mwaka wa tatu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.