Tunawapongeza TCD na mheshimiwa rais kwa kufikia muafaka kuhusu bunge la katiba. Cha kujiuliza, je ilikuwa ni busara kusubiri mpaka mvutano uwe mkubwa ndo tutafute muafaka? Watu mbali mbali wamekuwa wakishauri kuhusu kusitisha bunge la katiba ili kupata maridhiano kwanza ndo liendelee lakini ushauri huu umekuwa ukitupiliwa mbali. Sasa tumekuja kukumbuka shuka alfajili wakati tumeishapigwa baridi usiku kucha. Baadhi ya watu wamekuwa wakisema ktk hili bunge la katiba kuna ubabe unatumika. Ni kweli tunaweza kuamini hivyo make kwa baadhi ya kauli za viongozi zilikuwa zinadhitisha hili. Sasa baada ya maridhiano haya hawa wababe watatoka na kauli gani?
JADILI.
JADILI.