Ahsante sana ndugu yangu, kiukwel hata wazazi hawajawahi kunielewa kuhusu hali yangu.. wakati mwingine hata jamii inaona nafanya makusudi.. nashukuru sana kwa ushauri huu mkuu
Mkuu mimi ni mwanafunzi wa kada ya afya.. bado napambana na kitabu.. ila nakushukuru kwa ushauri wako mzuri .. chanzo nimekieleza tayar kwenye nyuzi hii hii
Mkuu unaweza shangaa ila bado nasoma .. ningekuwa nimemaliza miaka mingi sana ila hii hali ilinichelewesha. Wenzagu karibia wote tayar wameajiriwa na wana maisha yao. Naamini na mimi siku moja nitamaliza pia
Ahsante sana mkuu.. kiukwel nimefarijika sana kuona kuna watu wanaoelewa hali hii.. binafsi nipo mkoa wa Rukwa nasoma chuo huku. Pia nitakutumia mawasiliano yangu inbox tuzidi kufahamiana mkuu
Ahsante sana my Brother, kiukweli nafarijika sana kuona kuna watu wachache wanaoelewa hii hali. Kiukwel inatisha mkuu. Tuwaombee sana ndugu zetu wasikumbwe na hili tatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.