Recent content by Yeccotltd

  1. Yeccotltd

    Mkutano wa majadiliano wa mwaka 2013 wa CRB 23-24 Mlimani City!

    Mkutano wa majadiriano wa mwaka 2013 wa CRB UTAKAOFANYIKA LEO TAREHE 23-24 May 2013 ukumbi wa Mlimani City Mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huu atakuwa Waziri mwenye dhamana ya Ujenzi Mh John Pombe Magufu! Kwahuduma za UJENZI, UMEME na Teknolojia ya Mawasiliano waone: YECCO (T) LTD...
  2. Yeccotltd

    Umeme Jua naitambulisha PREMIER ELECTRICS

    Hongera sana, tunakukaribbisha kwenye sekta hiyo
  3. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    UPDATES: Mgeni rasmi ndio anaingia ni Naibu Waziri wa Ujenzi Eng: Gerson Lwenge Msajili wa CRB anamkaribisha Naibu Waziri N.Waziri: Kwa kazi zinazogarimiwa na fedha ya ndani hasa za mfuko wa barabara serikali imeamua zifanywe na makandarasi wa ndani (wazalendo) Zingatieni kuwa...
  4. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    Eng Muhegi: Kuanzia sasa ilikusajili mradi sio lazima uwe na kibali cha ujenzi, Kibali utakileta ikiwa eneo unalojenga limepimwa na unacho, Kila mradi unaoufanya njooni muusajili ili serikali ipate takwimu na itawasaidia nyinyi mkitaka kupanda madaraja yenu!
  5. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    UPDATES: Maadhimio ya Makandarasi: Tunaomba CRB na OSHA wasimamie na kutoa elimu juu ya uzingatiaji wa sheria za ukandarasi kwa ujumla, Makandarasi tufungue benki yetu itakayotusaidia kupata mikopo kirahisi na kwa riba ndogo zaidi! Kwenye evaluation wawepo watu wa ppra ili haki ziwe...
  6. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    UPDATES: Baada ya mapumziko, sasa tunaendelea na msemaji ni Eng Stella Manyanya mkandarasi, mbunge, na mkuu wa mkoa! Eng Manyanya: Mimi nikiwa kama mkuu wa mkoa na mkandarasi ninawakaribisha mje kuwekeza mkoani Rukwa, tenda zipo na nitawasimamia ipasavyo makandarasi wa ndani, Rukwa...
  7. Yeccotltd

    Taasisi ya Regia Mtema Foundation & Biography ya Regia

    Asante kwa taarifa ndugu mwenyekiti na nikupongeze kwa kazi yako nzuri isiyokifaniTupo pamoja kulitimiza lengo!
  8. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    UPDATES: Mwakilishi wa NBC ndugu. Dastan Kolimba anaanza kutoa mada: Sisi maranyingi tumejikita ktk ushauri wa kitaalam wa kifedha na malipo yenu kuko kwenye sekta yenu! Mtaji uutafutao uwe mahususi kwa mradi uliokusudiwa, Makandarasi muondokane na utamaduni wa zamani, Benki yetu ya...
  9. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    Sasa anaanza kutoa mada mwakilishi wa benki ya biasha ya Afrika ACB Bibi Fatuma Abdala, ACB hatuhitaji dhamana kumkopesha mkandarasi, Utaratibu ni: 1)Class 1 atakopeshwa hadi milioni 700 2)Class 2 atakopeshwa hadi milioni 500 3)Class 3 atakopeshwa hadi milioni 300 4)Class 4-7...
  10. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    Mabadiliko ya Ukumbi, leo tutakuwa makumbusho ya taifa jirani na chuo cha usimamizi wa Fedha (IFM) Mkutano umeanza kwa salaam, Hehee Eng Magesa ameanza kusalimia kisha akatania kwa kusema Kidumu chama Cha mapinduzi! Watu wakazomea hooooooo!
  11. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    Habari za asubuhi wapendwa wateja wetu na watanzania wote, mkutano wetu wa CRB unaendelea leo ikiwa ndio hitimisho, endelea kufuatilia hapa!
  12. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    Mkutano kwa leo umehitimishwa, utaendelea kesho kuanzia saa mbili kamili asubuhi!
  13. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    Asante sana, mkutano bado unaendelea!
  14. Yeccotltd

    Mkutano wa Contractors, Karimjee Hall Dar es Salaam!

    Ndio kunakiingilio, kila mkandarasi unalipia laki moja tu!
Back
Top Bottom