Recent content by YC6K

  1. YC6K

    Hii AWARD VERIFICATION NUMBER, inayotolewa na NACTE ni tofauti na namba ya usajili?

    Hivi na hii inamaana gani... Kila document ninayoiweka naambiwa plug in not supported
  2. YC6K

    Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

    Hivi hii inamaana gani kila documents ninayoiweka naambiwa plug in not supported
  3. YC6K

    Hii AWARD VERIFICATION NUMBER, inayotolewa na NACTE ni tofauti na namba ya usajili?

    Asante sana.... Na tatizo kubwa ni kwenye masuala ya kuomba mkopo kina sehemu inahitajika hiyo award verification number... Hivyo kama chuo kimechelewesha m Asante sana ndugu yangu... Kwa kunipa matumaini
  4. YC6K

    Hii AWARD VERIFICATION NUMBER, inayotolewa na NACTE ni tofauti na namba ya usajili?

    Asante sana.... Na tatizo kubwa ni kwenye masuala ya kuomba mkopo kina sehemu inahitajika hiyo award verification number... Hivyo kama chuo kimechelewesha taarifa nactN inamaana suala la mkopo unakosa
  5. YC6K

    Hii AWARD VERIFICATION NUMBER, inayotolewa na NACTE ni tofauti na namba ya usajili?

    Wanazingua ile mbaya... Vyuo vyetu hivi vya kati ni matatizo... Wamechelewa kupeleka taarifa Nacte... Sasa nashindwa kuipata
  6. YC6K

    Hii AWARD VERIFICATION NUMBER, inayotolewa na NACTE ni tofauti na namba ya usajili?

    Habari ya mihangaiko wanajamii, Nina kitu naomba niulize, kwa mwenye kufahamu, hasa wale ambao tunaoomba mkopo wa elimu kutoka HESLB, na tumepitia DIPLOMA... Hii AWARD VERIFICATION NUMBER, inayotolewa na NACTE ni tofauti na namba ya usajili wa mwanafunzi pale unapoanza chuo, ambayo ndio...
  7. YC6K

    Mke na mume wazua timbwili, wausimamisha mtaa

    Huyo mke wa kwanza, alileta ujinga mwenyewe wa hovyo, na alikuja kudai talaka mwenyewe kwa mumewe, na familia haikuingilia ilikuwa ni yeye na mumewe, na ilifika wakati mwanaume akaona apeleke kwa wazazi na kutoa talaka hiyo ambayo mwanamke aliitaka,
  8. YC6K

    Mke na mume wazua timbwili, wausimamisha mtaa

    Sawa sisi ni wanafiki na tumemshikia akili bwana Ally, nikushauri tu usiwe Unaamini jambo kwa asilimia zote, uwe unafikiri pia, MUNGU PEKEE NDIYE MWENYE KUUJUA UKWELI
  9. YC6K

    Mke na mume wazua timbwili, wausimamisha mtaa

    Bwana Ally yupo nyumbani, na juzi tu katoka hospitali muhimbili, awezi tupwa na ndugu zake, tumepambana sana hadi anafikia hali ya kuwa na ufahamu, ajali aliyoipata ilimsababishia matatizo makubwa sana,
  10. YC6K

    Mke na mume wazua timbwili, wausimamisha mtaa

    Asante sana, mwanamke hataki, tayari ameshatuona sisi kuwa ni maaadui...
  11. YC6K

    Mke na mume wazua timbwili, wausimamisha mtaa

    Tatizo ni huyo mwandishi wa habari kamuamini sana mwanamke, na bila kuuliza ama kufuatilia kwa mwanaume, Na hili halijaanza hapa lilishaenda hadi radio planet ya hapa Morogoro kabla ya siku hiyo, na lilijibiwa vizuri tu, Tatizo la baadhi ya waandishi wetu wa habari hawafanyii uchunguzi...
  12. YC6K

    Mke na mume wazua timbwili, wausimamisha mtaa

    Ni kweli kabisa ulisemalo,, lakini si kwa huyu mwanamke, alipelekea hadi bwana Ally kukosana na Mama zake kwa sababu zisizoeleweka, hebu imagine mwanamke anamleta mtu nyumbani kwa wazazi wa Ally akidai kuwa ni Mdogo wake, kumbe ni mtoto wake wa kumzaa mwenyewe (na hili alikuja kuropoka...
Back
Top Bottom