Fungua picha na MS Paint, Untick "maintain aspect Ratio' then chagua "Pixel' tthen weka hizo pixel dimensions unazozitaka!Naomba msaada kuhusu jinsi ya kucrop passport size iwe na ukubwa wa 150x160 ili niweze kui apload bodi ya mikopo.
Tafadhali naomba nisaidiwe kwa hilo kwa yeyote mwenye uwelewa kuhusu hilo.
Unatuma na pay in slip ya Benki ya malipo ya sh. 3000Ila ile ya tra
Unatuma na pay in slip ya Benki ya malipo ya sh. 3000
Habari kaka hivi kumbe zile nyaraka zinabidi zitumwe kwa njia ya EMS posta mi nlijua nimeshamaliza kila kitu mtandaoni duuuhoya wakuu nimetuma maombi ya kuhakiki cheti cha kuzaliwa ila majibu yanachelewa naomba kuuliza naweza nikatuma hizi nyaraka zingine kwa njia ya EMS posta hata kabla ya kutumiw ujumbe wa kucertify cheti cha kuzaliwa
Hivi hii inamaana gani kila documents ninayoiweka naambiwa plug in not supportedHabari kaka hivi kumbe zile nyaraka zinabidi zitumwe kwa njia ya EMS posta mi nlijua nimeshamaliza kila kitu mtandaoni duuuh
Jaribu kuupload hizo nyaraka kwa kutumia browser tofauti au tumia kompyutaHivi hii inamaana gani kila documents ninayoiweka naambiwa plug in not supported
ukimaliza kuapload ukurasa wa 2 na 5 inabidi hizo nyaraka pamoja na copy ya cheti cha form 4(kiwe kimethibitishwa in true copy from original) vitumwe kwa njia ya postaHabari kaka hivi kumbe zile nyaraka zinabidi zitumwe kwa njia ya EMS posta mi nlijua nimeshamaliza kila kitu mtandaoni duuuh
mkuu hivyo vyeti vinazibitishwa baada ya kuprint au naweza kwenda thibitisha vyeti tu pekee?ukimaliza kuapload ukurasa wa 2 na 5 inabidi hizo nyaraka pamoja na copy ya cheti cha form 4(kiwe kimethibitishwa in true copy from original) vitumwe kwa njia ya posta
Hiyo namba kwenye alama nyekundunaomba kujua kwenye kuupload vyeti na risiti ya benki katika website ya rita kuna sehemu naambiwa niingize namba ya risiti .je hyo namba ni ipi?
Mkuu umejaza Kila kitu kwa kutumia simu Na ukafanikiwa?Nenda playstore download photo reducer utaedit kwenye custom. Mimi nimetumia simu, unaweza edit picha ukubwa wowote
Kama Unatumia smartphone yenye ubora wa picha unafanya vyote na kufanikiwa. Kuweka Picha vizuri tumia Photo&Pictures Resizer ipo Play store, kuscan tumia Cam Scanner, pia simu iwe na PDF reader(Adobe Acrobatics) vyote vipo Google Play Store. Kama ngumu nenda Cafe na uwe makini nao kwani wengine hawana uzoefu.Mkuu umejaza Kila kitu kwa kutumia simu Na ukafanikiwa?
Hiyo namba kwenye alama nyekunduView attachment 802975
mkuu udhibitisho wa vyeti kwa wakili ni baada ya kuprint form ndo napeleka kwa wakili?Kama Unatumia smartphone yenye ubora wa picha unafanya vyote na kufanikiwa. Kuweka Picha vizuri tumia Photo&Pictures Resizer ipo Play store, kuscan tumia Cam Scanner, pia simu iwe na PDF reader(Adobe Acrobatics) vyote vipo Google Play Store. Kama ngumu nenda Cafe na uwe makini nao kwani wengine hawana uzoefu.