Recent content by yazid

  1. Y

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Nina wasiwasi na aliyesema mkutano utarushwa live inawezekana amefanya hivyo wakati akijua live coverage hitakuwepo ili kuwafanya UKAWA waonekane waongo na kuwagadhabisha wapiga kura wao.Tusilaumu sana UKAWA maana ITV sijaona wanarusha tangazo kuhusu mkutano wa UKAWA kwa leo,siasa inaambatana na...
  2. Y

    Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

    Binafsi kauli ya Bulembo inabidi ilaniwe na watu wote wanaopenda amani ya nchi hii wakiongozwa na idara nyeti ya NEC na vyombo vya usalama,namnukuu Bulembo huko kigoma"mnajua kuna kitu ambacho CCM hatujawahi kufanya na hatutakuja kufanya mnajua ni nini?niwambie hatuwezi kuwaruhusu kuingia...
  3. Y

    FULL TEXT: Hotuba ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Agosti 29, 2015

    Kama sio kuvunja sheria mgombea wa ccm angeongea dk.ngapi?
  4. Y

    Mgombea wa CHADEMA Mufindi Kaskazini Ajiunga ACT

    Chadema hawana mchezo kwa mtu yeyote aliyepita kwa kutoa rushwa hata ya sh.500 na kushinda ktk uchaguzi lazima akatwe.Vp kwa upande wa pili?
  5. Y

    Zaidi ya wanachama 100 wa CCM akiwemo mwenyekiti wa UVCCM Bukoba wajiunga CHADEMA

    Mabadiliko ni suala la wakati na wakati ndio huu.
  6. Y

    Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

    Mleta mada muache mzee atulie na hakuna haja ya kumsakama Dr.wa wa watu.
  7. Y

    Mpasuko CCM, Kingunge, Nchimbi na Mwandosya kutimka

    CCM iko imara zaidi kuliko kipindi kile Lowasa akiwa mwanachama hai.CCM songa mbele.
Back
Top Bottom