Recent content by Yasser Kagire

  1. Yasser Kagire

    Maswali yanayoulizwa kwenye usahili JWTZ

    Marinda hawakuulizi mkuu, wao wanakupima direct tena unapimwa na madaktari wanawake.
  2. Yasser Kagire

    Maswali yanayoulizwa kwenye usahili JWTZ

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23]
  3. Yasser Kagire

    Mfanyakazi kibarua

    Currently
  4. Yasser Kagire

    Natafuta kazi ya sheli

    Na wewe wacha kujifanya upo complete wakati nawe kilaza tu.. Alieleta hii thread ameandika Anatafuta kazi Sheli (petrol station) sasa wewe hiyo SHELL umeitoa wapi?
  5. Yasser Kagire

    Natafuta kazi ya sheli

    Pm sent
  6. Yasser Kagire

    Natafuta kazi ya sheli

    Amuone Ally Shomvi au Boss Issa
  7. Yasser Kagire

    Kama unahitaji wapishi kwenye sherehe yako

    Habari zenu wakuu, kama unashughuli yako iwe Harusi, Send off, Msiba au Sherehe ya aina yoyote na unatafuta wapishi wa chakula kitamu na kuvutia, basi jibu lako ni MAMA JAMILA. Wasiliana nasi kwa namba 0716948602, Tunapatikana Chamazi Dar Es Salaam. Huduma popote inakufikia
  8. Yasser Kagire

    Kwa mahitaji ya wapishi mashuhuri

    Samahani sana kwa kusahau jambo hilo muhimu.. Tupo Chamazi Dar Es Salaam
  9. Yasser Kagire

    Kwa mahitaji ya wapishi mashuhuri

    Ni wewe tu mkuu maana kila kitu lazma uangalie maslahi kwanza.
  10. Yasser Kagire

    Kwa mahitaji ya wapishi mashuhuri

    [emoji1] [emoji1] acha utani mkuu, Mars tena!!.? Sisi tunapatikana Dar Es Salaam.
  11. Yasser Kagire

    Kwa mahitaji ya wapishi mashuhuri

    Habari zenu wakuu, Kama unashughuli yako iwe Harusi, Send off, Msiba au Sherehe ya aina yoyote na unatafuta wapishi wa chakula kitamu na kuvutia, basi jibu lako ni MAMA JAMILA. Wasiliana nasi kwa namba 0716948602. Huduma popote inakufikia
  12. Yasser Kagire

    FURSA KWA WATUMISHI WA UMMA

    Fika ofisini kwa maelezo zaid.. Kwa Dar Es Salaam Tupo Shoppers Plaza, 2nd floor.. Asante
  13. Yasser Kagire

    FURSA KWA WATUMISHI WA UMMA

    Tunafanya hivyo ili kufikisha huduma kwa Watanzania wenzetu.. Usawa ni mgumu hakuna anaebisha na ugumu huo huo pia ndo unawafanya watu wahitaji mikopo
  14. Yasser Kagire

    Ushauri wa kukopa na kujenga

    Kama ni Muajiriwa wa Serikalini na unahitaj mkopo nitafute mkuu.. Platinum Credit Limited ndio jibu, mkopo bila dhamana yoyote. Nichek 0686080555 au tembelea website yetu ya www.platinumcredit.co.tz
  15. Yasser Kagire

    Fursa za mikopo kwa watumishi wa umma

    Mtumishi wa umma, Platinum Credit ni jibu pekee la dharura zako za kifedha. Unapata mkopo wa hadi milioni kumi ndani ya masaa 24 tu. Marejesho ni kuanzia miezi 3 hadi 72. Tembelea ofisi zetu au piga 0686080555 tukuhudumie. Tembelea:www.platinumcredit.co.tz
Back
Top Bottom