Kwa ubabe 90% tumezibwa midomo..Lissu pekee ndie anaweza kuongea ukweli nchi hii..Na walidhani kwa kukandamiza Wangeshinda 100% ..Kumbe nchi c ya mmoja..28-10 nnajambo langu privatini
Walevi kama ww waliomba kwa Jpimu amuachie Baraba mlevi mwenzao kisha Yesu akafungwe..HUIJUI DUNIA MDOGO WANGU..BILA SHAKA BADO UNANYONYA VIDOLE UKIKUMBUKIA MAZIWA..Inatosha HUJIELEWI
Shehe Ponda ndie muislam anae umizwa Zaidi na suala la mashehe kuwekwa magerezani kuliko shehe wowote nchi..Yaani Ponda wale mashehe ni kama wadogo zake au kaka zake wa tumbo moja..Kwa Misimamo ya shehe Ponda isinge wezekana yeye kujishusha na kujidhalilisha chini ya Lissu..Ila Shehe ni kama...
MM NAWASHAURI WATU WASIOJULIKANA WAJIFANYIE TU YASIYO JULIKANA..Maana 2020 imefika..Tunalundo la matukio yao hatuwezi kubali tuvuke nayo 2021
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje tukupe Ubunge hata wa humu JF..Maana hii point inainua uchumi kwa sekunde 5 na inamaliza ufisadi kwa kufumba na kufumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kinacho en
Unajua kinacho endelea huko sasa..Nijuavyo hakuna uwanja huru na salama..Ngoja povu nifulie..Maana kinga ni bora kuliko tiba
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.