Recent content by Yasini Mhindi

  1. Yasini Mhindi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa kuchat nao umri kati 18-23

    Ndugu wana Jf natafuta marafik wa kuchat nao jinsia yoyote sibagui Ukiwa tayari Email yangu hii www.yasinimhindi@gmail.com Facbook www.facebook.com/yasini.mhindi Twitter. www.twitter.com/yasini.mhindi BBM Pin 25214A73 Ukinifata niambie kwamba umetokea humu!! Nikutambue haraka...
  2. Yasini Mhindi

    JamiiForums Tanzania Samsung galax note 2

    Bei hiyo siyo mbaya sana ila naomba kujua na Blackberry 8300 itagarim sh ngap
  3. Yasini Mhindi

    JamiiForums Tanzania Naomben msaada juu ya ku update software

    Ndugu zangu naomben mnisaidie jinsi ya kua update software maana sim yangu inanizingua sana sim ni Blackberry 8300 nikitaka ku donwload Whatsapp inaniletea ujumbe Sorry, your current BlackBerry OS [] is too old and not supported. Please upgrade your BlackBerry OS to version 4.6 or...
  4. Yasini Mhindi

    JamiiForums Tanzania Habari za Asubuh, wakubwa Heshima yenu wadogo mambo vip

    Nimefaya hivyo Mpaka nimechoka jana nime Wipe sim yote ikafutika had majina phonebook lakin bado haitak kufunguka !!
  5. Yasini Mhindi

    JamiiForums Tanzania Habari za Asubuh, wakubwa Heshima yenu wadogo mambo vip

    Mi ndugu zangu nina tatizo katika simu yangu nilikuwa naomba msaada wenu wa hal na mal Sim yangu ni Blackberry 8300 nikita kupiga picha kuna ujumbe unakuja unasema hivi (Could not start the Camera. Close other applications and try opening the camera again) Msaada wenu jaman nifanye...
  6. Yasini Mhindi

    JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani Tz kutoa namba ya mtahiniwa badala ya jina ina maana gani?

    Walivyo fanya siyo sahihi kwasababu mfano» Baba yupo mbali na mwanae na anataka kuangalia matokeo ya mwanae halafu hajui namba! huku ukiangalia toto lake ni tukutu si anaweza akampa namba ya uwongo sasa itakuaje hapo!!!
  7. Yasini Mhindi

    JamiiForums Tanzania Tiba ya kuondoa virusi vya ukimwi mwilini baada ya kulala na mwathirika haraka!

    Docta we kweli umesomea gd job!!
Back
Top Bottom