msaada tafadhali Kwa wanafunzi wa diploma wa Bandari college ambao wanamaliza mitihani yao mwisho wa mwezi wa saba na wanataka kujiunga na ngazi ya degree ku apply kupitiya TCU ambapo wanamashaka kama matokeo yao yatakuwa tayari na kuwasilishwa TCU msaada tafadhali au mwenye uelewa tofauti...
Ninaomba msaada Nina mdogo wangu alisoma masomo ya biashara amepata GPA 0.6 sijajua wapi aende na jee anaweza kupata nafasi ya kusomeya ualimu ?????? hata kama ni private!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.