Kabisa, mke wangu alinikuta na mtoto mmoja. Sina mazoea ya kuwasiliana na mzazi mwenzangu, wakati mwingine hadi mwaka unaisha hatujawasiliana. Mtoto yupo kwangu sasa mke wangu atapata wasiwasi gani? Wanawake hawawezi tena walivyo na tamaa hawa watu.
Biashara ya kubembeleza mwanamke nimeshaacha kitambo sana. Hii jinsia inaupuuzi mwingi sana. Nakaribia kufikisha miaka kumi sasa na shemeji yenu bado yupo maisha ni Masculine akizingua anakula chapo kama kawa anarudi kwenye mstari tunasonga mbele. Hawa wajinga ukiwa mpole sana wanazingua.
Mume wako yupo atakuja endelea kutulia. Miaka 2011- 2015 katikati nilikuwa naishi Morogoro na DSM, nilidhurula vibaya sana hiyo miji hasa DSM kumbe mke wangu kipenzi alikuwa pale Kinondoni.
Nimekuja kukutana naye mkoani mwaka 2015 mwishoni baada ya yeye kuja huku kwa issues zake nami pia kuja...
Asimfanye chochote amwache aendelee na kazi zake na amwombee kila lenye heri. Huyo dogo ni utoto na kujazwa maneno na mama yake kunamsumbua. Ulimwengu utamfunza.
Pole sana kaka kwanza relax kumbuka hapa Duniani tunapita hakuna mtu atabaki na hakuna mtu atazikwa na mali. Kifupi ipo hivi wanawake wengi kama sio wote, wanatabia zinazofanana. Tabia yao kubwa ni ubinafsi, wanajithamini sana wao kuliko waume zao, wanapenda sana mali kuliko mwanaume anayeleta...
Wamepiga hatua kubwa sana yaani ni jambo la kuigwa sana hili. Hapa Tz tumejawa na mambo ya kihunihuni tu Kikwete ni bora asingeenda Kenya. Kuna yule jamaa nadhani anaitwa Mahera alikuwa kwenye Tume ya Uchaguzi uliopita ajifunze kule kenya.
Magufuli ametusaidia kutuonesha kwamba nchi hii Ina mifumo dhaifu sana. Kikwete na watangulizi wake walitudanganya kuwa tuna demokrasia nzuri lahasha hatuna kabisa kitu kama hicho. Hivi CCM imefanya mambo mazuri saaaana hapa Tz kiasi kwamba iendelee kushika madaraka? Siamini katika hilo nchi...
Kabisa. Eti kura za majimboni Tz hazitangazwi mpaka zitangazwe na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi. Wenzetu kule wamesema kila anayetaka kujua na kujumlisha kura afanye ilimradi asitangaze mshindi, kazi hiyo itafanywa na Tume. Huku kwetu mambo ni ya hovyo mno. Rais Tz hachaguliwi na Wananchi...
JK na wenzake wameenda kuwa waangalizi wa Uchaguzi.....Wamekosea sana Tanzania Viongozi hawachaguliwi na wananchi. Wanachaguliwa na watu fulani tu wachache. CCM wanatuchagulia Viongozi sisi wananchi. Bado tunasafari ndefu sana ya demokrasia Tz.
JK anasimamia Uchaguzi Kenya kwani yeye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya? Yeye ni kiongozi wa Timu ya waangalizi wa Uchaguzi kutoka Afrika Mashariki. Zipo timu zingine nyingi zinazoangalia mwenendo wa Uchaguzi huu wa Kenya. Fuatilieni mambo kwa kina sio kudokoa vitu vichache.
Kabisa Mkuu, mwanamke unaweza kumpa pesa inayomfanya aendesha maisha yake kila hata kwa kumpatia kidogo kidogo alafu anasahau na kukuona haujafanya chochote. Nilikuwa na mahusiano na mwanamke kwa miaka mitatu kwa kipindi chote hicho hakuwahi kutumia pesa yake kwa mahitaji niseme madogo madogo...
Kabisa kiongozi umenena sawa nilimpenda sana mke wangu akaja kuniona mjinga kabisa kama mtu niliyenasa kwake kamwe siwezi kutoka na siwezi kupata mwanamke mwingine duh! Siku moja akanambia siwezi kupata mwanamke mzuri kama yeye...Na kwamba mwanaume gani nashindwa kuvumilia mikikimikiki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.