Time haiko linear kili kitu kilichowahi kutokea au kitakachotokea kinatokea saivi. Kwaiyo dunia saiz ina watu billion 8 ila wakati huohuo nimwaka 1800 na kuna watu millioni 1p00 ukiwa reincarnated unatokea sehemu yoyote kat8 ya hizo moda
Kaka mi nimesoma iyo mechatronics diploma barchelor nkabadilisha kiukweli ni kozi ndogo,inakuwa marketed kama multidisciplinary lakini kiukweli inahusiana na automation tu ambayo ni kipande kidogo sana na Tanzania hiyo mechatronic unaomba kazi hadi umuelezee muajiri wako kozi inahusiana na nn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.