we acha hizo sio nyie mlioambiwa mumuache mtoto acheze mpira mmesahau au mnataka tena muambiwe muuache pacoma na chamachao wacheze mpira. hebutulieni ipangwe tarehe ya kula hicho kiporo
Nanikakwambia mambo yetu yanaenda na kanuni kanuni zinategemea zinamhusu nani. Tunavyopiga kelele kuhusu simba na yanga kelele hizohizo zinesikika kwenye mambo mengine na muhimu ya nchi hii wala huko tusingefika lakini kwa kuwa tumekubali kuwa wanafiki na bado tutaloloma sana unaweza...
tatizo la nchi yetu kila kitu tunaleta porojo kwani kuna shida gani kuacha kanuni sheria na taratibu zifanye kazi na yule anakiuka taratibu hizo wanahusika wahukumu kwa kufuata kanuni hizo lakini kwetu hatutaki kufuata hata hizo kanunu cio walitungiwa hizo kanunu cio wanaotakiwa kuzisimamia wala...
kama ni kweli sim sim wanamfadhili MWAMBA bac atashinda maana wale wanaofadhiliwa NA simsim huwa wanashinda angalia serikal za nitaa 2019 uchaguzi mkuu2020 na uchaguzi serikali za mitaa2024 cuneona alichofanya mfadhili KWA KETE HIYO mwamba 5 tena unaweza...
wenye CHADEMA YAO watamchagua M/Kiti iwe mnamtaka au hamumtaki itabaki kuwa shida zenu mkumbuke kuwa na nyie mnao uchaguzi wanu wa nani cjui bara kabla CDM ingekuwa vyema mkahangaikia huko kwenu. achana na jirani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.