Ubarikiwe umeweka ujumbe mzuri sana sana kwa jamii yetu inayotuzunguka. Umetukumbusha wajibu wetu kuliishi Neno la MUNGU na kumheshimu kila mtu haijalishi ni mmeo au mkeo au mtoto , na kuwalea watoto wetu kwa kumjua MUNGU na ili baadae wawe na maisha Yao bora , wakikua. Watu wengi hawajui kuwa...
Wewe dada hebu tulia, wewe ndiyo umeolewa, inamaana amekuchagua na amekuona ni bora kuliko wanawake wote duniani ndiyo maana akafunga pingu za maisha na wewe . Wewe ni wa thamani kwake ndiyo maana
wewe ni mke wake, kwahiyo hao uliosoma msg zao wanapoteza muda wao tu.
Tulia endelea kumheshimu...
Wewe ni mwanamke mwenye akili na ufahamu mzuri sana. MUNGU wa mbinguni ailinde na kuiinua ndoa yako iwe na furaha kupita siku zote.
Angalia wanawake wapumbavu wasikudanganye ukaharibu ndoa yako kwa kufanya mashindano na mume au eti kulipiza kisasi. Hicho kitu hakuna. Soma biblia kama kuna...
Nichangie jambo juu ya umri tendo na ndoa au mahusiano kamili.
Jambo muhimu linalobeba afya ya tendo la ndoa au mahusiano ni kujitunza kwa wote wawili mume na mke na kua ngalia nini unakula na nini unakunywa kwenye maisha kwa ujumla bila kuacha kufanya mazoezi japo kwa dakika tano kila siku au...
Hapa imenena kweli kabisa hata neno kwenye kitabu cha Mithali 6:32 imeandikwa "aziniye na mwanamke hana akili kabisa , afanya jambo linaloangamiza nafsi yake.
Nauza nyumba ya vyumba 3, sebule , dinner room, jiko , vyoo 2- masterbedroom.
Eneo linalo zunguka nyumba hii lina ukubwa wa 28m × 14m , bei ni Tzs 7.5 milion.
Hii nyumba ipo VIWEGE KWA MPEMBA , ila bado haija pauliwa tu. Kwa anayetaka kuinunua mawasiliano ni
0784 281125 kuanzia 8:00 asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.