Recent content by yakiti's son

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kusoma au wanaoifahamu "minaki high school''

    Natumain ni wazma wote wana jf na kama wengne ni wagonjwa poleni..sina meng nahtaj kufahamu mambo mbalimbal kuhusu shule hii zkwepo garama zake kwa mwaka na mahtaji yake kama mwanafnz maana nmechaguliwa hapo PCM.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Haya ni kwa vijana, wazazi, ndugu na jamaa wa kidato cha nne 2012.

    Naona 2ko pamoja kaka...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Haya ni kwa vijana, wazazi, ndugu na jamaa wa kidato cha nne 2012.

    Kua na majbu ya mcng wewe hulazimishwi kutoa maon yako hapa sio wote wana uwezo wa private bro..
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Haya ni kwa vijana, wazazi, ndugu na jamaa wa kidato cha nne 2012.

    Wizara ya elimu inachelewesha kutoa post za vijana wa kdato cha nne 2012 kwa lengo gan? sasa hii ndo wiki ya mwisho kwa mwezi 6 na kwa mujibu wa waziri wa elimu shule ni mwezi wa 7 na je ni sahih wazaz wajiandae wiki 1 na kupeleka vjana wao shulen?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Busara, uelewa, na mawazo yako ya kimantiki ndio sehemu yake hapa...

    ..pesa kama miadi yao haujafika na mteja wa 2 naye anasema shamba ni lake kwan ametoa fedha taslim na wameandikishiana na wote wana hati ya mauziano..sasa wanajf kazi kwenu hapo nani mmilik halal wa shamba hilo mteja 1 au mteja 2? na kwa vigezo vipi?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Busara, uelewa, na mawazo yako ya kimantiki ndio sehemu yake hapa...

    ...mteja wa 1 akagundua shamba ameuziwa mtu mwingine naye kisheria walpomuulza mmlik akasema aliuza kwa mteja 2 sababu alikua na shda hvyo yupo tayari kumrudishia fedha mteja 1 mteja wa 1 akakataa akasema shamb ni mal yake kwan muda wa kummalizia...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Busara, uelewa, na mawazo yako ya kimantiki ndio sehemu yake hapa...

    Haki iko kwa nani? mtu ameuziwa shamba katoa pesa kidogo kwa miadi ya kumaliziana kwa muda fulani na wameandkishiana kisheria lakn mwenye shamba akawa anashda kabla ya muda wa kumaliziwa pesa akaamua kuuza shamba baadae...inaendelea ukurasa wa chini
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Ujuzi, uelewa, busara na mawazo yako ya kimantiki ndo mahala pake hapa...

    Habari zenu wadau wa jf wakubwa shikamoni na wadogo wenzangu mambo vip? najaribu kutafuta data za kutosha kuhusu post za advance kwa kidato iv 2012 lakini bado sijapata data sahihi sasa naombeni wana jf kama great thinkers hiv hiz post zinatok lini?
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wako ndo sehemu yake hapa..

    Npen ma full informatn na data za kutosha kuhxu poxt za advnc 2013 kwa 4m4 2012 na rexult clp mana mwez ndo unakatka hvyo 2shakata 1/2 ya mwez na shul ndo wa 7 xo hii wzara haijui kuna maandalz au wnataka ku2lipia gharama zote nn wac2zngue bhana..!
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wako ndo sehemu yake hapa..

    Npen ma full informatn na data za kutosha kuhuxu poxt za advnc 2013 kwa 4m4 2012 na rexult clp maana mwez ndo unakatka hvyo 2shakata 1/2 ya mwez na shul ndo wa 7 xo hii wzara haijui kua kuna maandalz au vp?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania "nipeni maoni kuhusu hili wana jf..."

    Nina dvs 1-point 14 frxt comb ni PCM na kwny comb nina PHY-C CHEM-B MATH-A je naweza kuingia mzumbe kwan huko ni chaguo langu la kwanza na pia naomba kujua topic za math&chem 4m4 5&6...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Hii 2 wanajf:

    Hellow ma peoplez in jf wazma?
Back
Top Bottom