Recent content by Yajoh

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwili wangu unapata joto kali sana

    Inakaribia mwezi sasa Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwili wangu unapata joto kali sana

    Hapana sio Corona Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwili wangu unapata joto kali sana

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kwa wiki kadhaa nimekuwa na tatizo la mwili kupata joto kali, naweza nikapata joto kwa siku nzima kesho hali ikarudi kama mwanzo halafu ikajirudia tena. Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Uyo mzee kiboko kabisa, hafai ata kumsogelea karibu Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Bilioni 2 ni nyingi ila ndogo kwa Simba, Next time mfanye 5 kwenda mbele

    Umepiga hesabu zako kama zile za kilimo cha matikiti kilichokuwa kinafanywa fb Kuuza jezi ni biashara ngumu sana , kuna fake nyingi sana mitaani, Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Kkoo mtaa gani ? Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini ngumi zinachezwa usiku wa manane?

    Ata mimi nawashangaa sana, mda ule wa ngumi wanapoteza mashabiki wengi sana mana wanaelekea kulala, pambano la mwisho angalau lianze saa 4 usiku Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Vipi kuhusu YANGA OMARY na KIBOKO hio sheria mpya kwanini kwao haikutumika ? Mana Yanga kafungwa miaka 30 na kiboko miaka 20 ila mali zake zimeachwa Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kiluvya

    Nitaweka mkuu hio picha, nishamuomba mwangalizi wangu apige tena picha vizuri Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kiluvya

    Aliposimama mpiga picha nyuma yake ndio kuna nyumba chache Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kiluvya

    Mbele yake Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kiluvya

    Labda nikuulizie kwa majirani zangu
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kiluvya

    Nauza kiwanja changu bei ni Milioni 3 kina ukubwa wa mita 20×20 Kiluvya Makurunge , umeme tayari umefika kwenye kiwanja, barabara inapitika wakati wote 0784 369336
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi ya Shamimu na mumewe kutolewa kesho Machi 31, 2021

    Kabisa , mwana ukome kabisa Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi ya Shamimu na mumewe kutolewa kesho Machi 31, 2021

    Ndugu wapo watakaa na watoto Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom