Recent content by yajamapya

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

    Yawezekana ulikuta watu wamepata breakdown nao wanatafuta msaada wewe ukafikiri ni majambazi. Jambazi gani akusimamishe bila kuweka barrier!
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wasabato fahamuni kuwa Yesu ndiyo hekalu halisi lililopo mbinguni haiwezekani akaingia kwenye hekalu lake mwenyewe

    Hiyo sio hoja ya wasabato bali ni hoja ya Biblia kitabu cha Waebrania sura 8 na 9. Nenda kasome uelewe usiruke ruke na hoja za kuambiwa. Kazi anayoifanya Yesu ni kazi iliyokuwa inafanywa na makuhani katika agano la kale kama mfano wa kile ambacho Yesu angekuja kutimiza. Ndiyo maana wakati Yesu...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    4.Muungano ukivunjika Zanzibar itajitangaza kuwa Dola ya kiislam, Tanganyika ndo tutakuwa wahanga wa kwanza wa ugaidi na mashambulizi kutoka makundi yenye itikadi kali
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

    Hiyo picha ni ya kweli na huyo sio boda bali ni mwalimu mmoja wa shule ya msingi huko Tabora. Amezikwa last week huko Same Kilimanjaro
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote huenda likawa ni kaburi la afya za Watanzania

    Pale serikali inapoonesha nia ya kufanya jambo tutoe ushauri wenye lengo la kuboresha ila isiwe kila jambo ni la hovyo. Angalau serikali ya awamu hii imethubutu kuanzisha hilo hata kama litaanza kwa mapungufu lakini ni jambo la kupongezwa. Unaposema serikali itakuwa imejiondoa rasmi kugharamia...
Back
Top Bottom