Ndugu wanajanmvi!
Kwa wiki kadhaa kumekuwa na habari za kuwepo kwa mgogoro katika ya Mbunge wa Ukerewe Salvatory Naluyaga Machemri na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ukerewe na Diwani wa Kata ya Bukiko, Joseph Mkundi. Kwa wasiofahamu hili wanaweza kudhani kuwa mgogoro huu umeanza baada ya issue...
Inasemekana Issue hii ni zaidi ya madai ya mshahara. Swali la kujiuliza ni kwa nini yanatokea sasa. Kuna siasa nyuma yake. Ni harakati za wanaotaka ubunge kati ya Malima (Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa), Mkundi (mwenyekiti wa halimashauri) na Machemli mwenyewe ambaye ametangaza kugombea tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.