Recent content by yahyaam

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Fastjet wasanii

    sijawahi hata kusafiri na bei wanayoitangaza . tutabaki kufika mbeya kwa mabasi tuu
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Government secretly doles out 35 billion to pw?????

    ndio ya kusikitisha na ndio maana nikaamua kuileta hapa..kama hujasikitishwa hio ni maamuzi yako...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Government secretly doles out 35 billion to pw?????

    speaking of government ..wangeinyanyua air tanzania basi..
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Government secretly doles out 35 billion to pw?????

    thats exactly what a thought..
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Government secretly doles out 35 billion to pw?????

    vipi mzee nimekuchanganya au??
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Government secretly doles out 35 billion to pw?????

    Pw is precision air mkuu
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Government secretly doles out 35 billion to pw?????

    i explained and gave out my views..thats more like it.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Government secretly doles out 35 billion to pw?????

    This is a private company that is a public a public money,is it fair?? while other citizens delivered mothers share hospital beds? 5 to 1? meanwhile teachers not paid their dues?? dont we have enough airlines to support more than wasting it on another one?? WHAT IS THIS?????
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Precision air majanga

    hamna kitu kama hicho!! usfananishe ndege na dala dala la mbagala mpaka abiria wajae! nomaa
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Precision air majanga

    niko hapa mtwara toka saa mbili na nusu bado hatujaambiwa kuhusu delay ya ndege ya kuelekea dar es salaam,wala nini,mpaka sasa saa nne tupo tuu tunashangaa..! unreliable. mumeniaribia siku duh
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Jamani muacheni chui aitwe chui nyie!, huyu si paka eti

    kazi kweli kweli dahhh nomaaa!!
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Precision air maji shingoni

    though i got your point lakini muheshimiwa hayo ni mabasi..hizi ni ndege..usichanganye madawa! mabasi na ndege ni vitu viwili tofauti!
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Precision air maji shingoni

    Kwanza Boeing zimekamatwa,JNIA ziko grounded mpaka zilipe pesa nyingi tu. watoa huduma wote ikiwapo wakodisha ndege pamoja na huduma zingine na ndege nyingi zilisongiziwa kua mpya zote zinadaiwa na mabenki. Route nyingi zimeshasisitishwa Comoro inasuasua,kigoma chali,arusha bye bye.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Precision air maji shingoni

    Ndege za kamatwa na kushindwa kuruka madeni,kioko awakimbia awaacha katika hali taabani. Wafanyakazi walipwa nusu mshahara,waanza kupunguza route,wameshidwa kutoa huduma nafuu kwa wananchi. Wajaribu kuididimiza fastjet lakini wakwama,kiasi kwamba wadaiwa kila kona madeni yasiyo lipika. Wapo...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Help!

    kuwa mstaarabu,i asked a simple question and as i said im new! longo longo za nini mzee
Back
Top Bottom