Recent content by YAHAYAMOHAMED1970

  1. Y

    Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

    c.v ya kubenea ni confidential. teh teh
  2. Y

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    mods mmfuatilie huyu memba kwa ukaribu. hasira anazozionesha hapa anaweza jiua muda wowote
  3. Y

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    aitheee babangu malisa upo siriasi kweli wamtetetea mbowe, mbatia, lowasa na sumaye. haki ya .... lazima wakupe ulaji wakishinda
  4. Y

    Yaliyojiri : Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA Lowassa, Masasi 22/09/2015

    fursa pekee ya kumpeleka certified fisadi kwenda ikulu? alafu mkiambiwa wapumbavu mwasema mwatukana. mpunguze ushabiki wa siasa muipende nchi yenu
  5. Y

    Yaliyojiri : Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA Lowassa, Masasi 22/09/2015

    hapo mmemaliza? kaongea nini? mwacheza ngoma ya fisadi lowasa msiyoijua. siasa za umati!! alizifanya sana wakati anagombea kuteuliwa ccm ila kakatwa. huko pia wananchi watamkata tu. unataka urais wakati ukiongea sentensi ya 3 umeshasahau ya kwanza?!
  6. Y

    Hali za Wagombea Ubunge aa CHADEMA zikoje? Wasijekuvurugwa wakasahaulika!

    kwa niliowaona wanasubiria tu ziara za lowasa na wao wawapungie wananchi mkono. kuna mmoja wa huko katavi nimesoma leo anasubiria vifaa toka us kwa mwanae ndo akazindue kampeni
  7. Y

    Hali za Wagombea Ubunge aa CHADEMA zikoje? Wasijekuvurugwa wakasahaulika!

    yakheee ulitaka awe chadema ndo umpende? mmm jf family yamjua vyema. wewe endelea kuwa na id 50 unacomment mwenyewe post nzima ya mtu
  8. Y

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    maria surungi na viongozi wa twaweza wajiandae kisaikolojia na character assasinations. walewale vijana wa lowasa waliowashukia watajwa hapo juu watawashukia na nyie kuanzia kesho, sasa wapo wachimba maisha yenu binafsi na kazini ya sasa na yaliyopita. wataongezea na uongo ili kuionesha jamii...
  9. Y

    Say big NO to Lowassa to show the World that Tanzania hates corruption & bribery

    NO NO and NO to lowasa yakheeee. akagombee urais wa chama cha wafanyabiashara naona afaa sana huko
  10. Y

    Lowassa aamua kukimbia kuonesha kuwa yuko fiti

    hiyo spidi hata mjukuu wangu anayetambaa amshinda yakhe
  11. Y

    Kuna dosari kwenye Kitengo cha kampeni UKAWA

    trh mbili Oct 2015 uchaguzi nchi gani? Tanzania ni trh 25 Oct 2015
  12. Y

    Say big NO to Lowassa to show the World that Tanzania hates corruption & bribery

    kula like milioni 400. nimeipenda sana hii slogan japokuwa lugha imenipiga chenga kidogo yakheee
  13. Y

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    yakhee hiyo hela ulonunua bando kupost ujinga humu si ungemnunulia nduguyo dawa?
  14. Y

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    ukawa laleni. mtafanya propaganda humu usiku na mchana ila hamtadanganya mtu.
  15. Y

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    kwanini wasema ni fake? toa hata sababu moja. huko bara nasimkia mmesoma sana yakhee, mbona wabisha kama mama yangu kule mchambawima!
Back
Top Bottom