Hadithi ya uthibitisho kwamba mtume صلى الله عليه وسلم ni uzao wa ismail
Uthibitisho wa nasaba ya Mtume (SAW) yaani ukoo wake, uliotokana na Ismail (AS), umehakikishwa katika hadithi sahihi, kama inavyoonyeshwa na kauli ya Mtume (SAW): "Hakika Mwenyezi Mungu amemchagua Ismail miongoni mwa wana...
mimi nipo pharmacy zanzibar mzigo nachukua dar milioni kumi mzogo wa maana ila inategemea unachukua wapi na inakuwa nusu kwa nusu faida ila gharama ni uwendeshaji mfamasia na technician ila ukipata location nzuri wateja wengi famasi ni biashara nzuri sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.