hakuna cha bure broooo....
hiyo oxygen unailipia kwa kufanya yale aliyokupa hiyo oxgen kakauelekeza...
utachomwa moto buloo we haya tu na haya ndiyo malipo ya ile oxgen uliyoiita free...
life pia sio free couz umepewa time without contract na kuamrishwa kufanya mambo kadhaa,time ikiisha...
mbona kama ni ideology ileile ya mungu mkuu ni moyo wako plus mind yako...
Ni vile maybe hujui namna nyingine ya kukupa furaha na aman moyon mwako,so mind yako ikakuambia pita hivi utajisikia amani...
[emoji848][emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee nimecheka kifala sana...
itakuwa walikuwa wanapiga story za kumshughulikia ayubu pale karume huku wanakula kashata na gahawa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.