Recent content by Xuma

  1. Xuma

    JamiiForums Tanzania Mimi na familia yangu tunalihama kanisa Katoliki rasmi pia nakusudia kumuandikia papa barua kulishtaki Kanisa Katoliki Tanzania

    Hili Kanisa (Katoliki) nafikiri wana namna zao zakudeal na ishue zinazowapa mushkeli iwe kikanisa au kijamii. Hawawezi kufanya kitu kwa vile tu watu wanataka kifanyike hivo nafikiri something is cooking in there tusubiri tuone. Mie nasubiri tu WARAKA WA UCHAGUZI 2020.
  2. Xuma

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Letters from a Stoic "Trusting everyone is as much a fault as trusting no one (though I must call the first the worthier and the second the safe behaviour)"
  3. Xuma

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Vikwazo 12 vya kufanya biashara Tanzania

    ukiangalia vigezo vinavyotumika kuzigrade nchi sio deal sana kuwa namba za chini.
  4. Xuma

    JamiiForums Tanzania Sasa mtaamini waafrika si Binadamu kamili. Burning and Looting

    Wanakosea Shoprite ni ya Botswana sio South Africa.
  5. Xuma

    JamiiForums Tanzania Great Brink’s Robbery: Wizi wa Karne

    Ocean 11
  6. Xuma

    JamiiForums Tanzania Sababu za Watanzania wengi kufurahia kukamatwa kwa ndege ya ATCL nchini Afrika Kusini

    Waliidondosha fastjet toka mawinguni mpaka ardhini sasa sijui wao wanadondoka wapi!
  7. Xuma

    JamiiForums Tanzania Sababu za Watanzania wengi kufurahia kukamatwa kwa ndege ya ATCL nchini Afrika Kusini

    Aisee mi sifurahii kwani niko huku Afrika Kusini nilikuja na hii ndege na nilikata tiketi ya return siku za kukaa huku zimeisha bado ka siku 6 tu na nauli ya kurudi huko sina. Nyie mlio nyumbani mwambieni mzee alipe deni tu.
  8. Xuma

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Rais Magufuli anakubalika sana huku mtaani, mitandaoni ni kelele za wachache

    Matokeo ya kupiga marufu vyama vya upinzani kufanya siasa. Jamaa alicheza aisee kama Pele.
  9. Xuma

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa biashara kongwe zaidi duniani waanikwa

    Hamna hata jina moja la kihaya na hizo sura hamna kabisa.
  10. Xuma

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sifongo iliotiwa Siki aliyopewa Yesu akiwa Msalabani

    Neno la Wiki- Sifongo 24 Machi 2017 Wiki hii tunaangazia neno “Sifongo” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania. Bwana Sigalla anasema kwamba msamiati huu unafahamika kutokana na kuandikwa sana katika vitabu takatifu...
  11. Xuma

    JamiiForums Tanzania Mchungaji afichua jinsi watumishi feki wanavyopata nguvu ya kutenda miujiza na utajiri

    Inatisha sana hii. Iwe funzo kwa wanaotegemea aina hii ya Wachungaji. Ila pia isije kuwa script ya Movie za Kinigeria.
  12. Xuma

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua ghala na mitambo ya gas ya LPG ya Taifa Gas Tanzania Ltd

    Alafu Rostam ndo M/kiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taifa Gasi!!!!:confused::confused::confused:😤
  13. Xuma

    JamiiForums Tanzania Nisamehe Baba yangu, watoto wengi wanaamini Mama hajawahi kukosea

    Kabisa awe makini alitafakari hili kwa kina asije jutia hapo baadae. Ninakumbuka majirani zangu sehemu flani tofauti na baba wao walimchukia mama yao eti alisababisha kifo cha baba yao kwa sababu mama yao alikuwa na mwanaume mwingine (kumbe haikuwa kweli na mzee wao alikufa kwa ajali tu). Jamaa...
  14. Xuma

    JamiiForums Tanzania Wanakagera ebu tuzungumzie kidogo kuhusu hifadhi ya Taifa BULIGI ambayo kwa uelewa wangu ninajua kuwa ipo wilaya ya biharamulo

    Ùū Hapa kitu ni kuwa BURIGI sio BULIGI kieneo iko katka wilaya ya Biharamulo na toka enzi za wakoloni makao makuu na ofisi za hifadhi ziko Biharamulo mjini. Sasa huoni tatizo kuhamisha something existing kama hicho? Na ukweli haileti mantic Burigi kuwa Chato.
Back
Top Bottom