Recent content by Xtra Thinking

  1. X

    JamiiForums Tanzania Kwa video hii ni wazi kuwa Watanzania hawanunui tena uoga. Tunapoelekea sio pazuri

    Wahaini wanaongezeka kila kukicha 😂😂
  2. X

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hapa MUHIMBILI, Miili inayoletwa ni mingi mno, watanzania wengi sana wanauawa

    Unataka picha, fungua hapa angalia. Sio tu picha hadi video zipo humu https://www.instagram.com/samia_muuaji?igsh=aTdvam0yMnc3cWt2
  3. X

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya binti Iryna Zarutska huko Marekani yamezua gumzo

    Inasikitisha sana
  4. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Sasa ushoga si ni tabia ya mtu. Mi siwezi kuwa shoga
  5. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Ngumu kujiamini wakati nishajiharibu na masturbation. Sikuhizi erection ziko weak. Tangu nimeacha masturbation haujafika hata mwezi na hali sio nzuri bado. Napaswa kutafuta tiba kwanza
  6. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Yupo Housegirl, nilipoanza tu form 1 boarding akaletwa housegirl hapa ndio yupo hadi leo. Nilipomaliza advance nimerudi nimekuta ana mimba, ingawa hatujamrudisha naona wazazi wameamua kumsaidia kulea ujauzito wake maana uchumi kwao sio mzuri halafu ametusaidia kazi nyingi hapa home
  7. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Dah... this world is really not for me
  8. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Mzee aliniambia kuwa madhara ya punyeto yanatibika kwamba nisiwe na wasiwasi Hadi sasa erection zangu zipo weak ila nina matumaini ya kupata tiba. Nitajitahidi kutafuta tiba ikishindikana kabisa sioni haja ya kuishi. Na hilo suala la kupungua nguvu za kiume kisa punyeto linaniumiza sana...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Siwezi kuwa shoga hata iweje. Ahsante kwa ushauri
  10. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Ni watu wa kawaida tu, hawajashika sana dini. Mama muislam baba ni mkristo na wote sio wafia dini. Muda mwingi wapo aidha kazini au nyumbani. Sio watu wa kutoka out au nini Weekend wanakesha nyumbani na familia
  11. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Ni kweli mkuu, nimekulia Boarding tangu form 1 hadi leo form 6. Halafu kote nimesoma uboizini tu
  12. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Natamani sana nihame, ila inabidi nisone kwanza. Nawategemea wao kunilipia masomo ya degree. Nikimaliza chuo haki ya Mungu naenda kuishi peke yangu
  13. X

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Too late, nilisoma uboizini. Nimekula nyeto sana, hadi nikapoteza hisia na mademu. Nimekaa nalo moyoni nimeshindwa nikamwambia mzee wangu kwamba siku hizi erection zangu hazipo vizuri kwa sababu ya masturbation. Ikabidi tutafute dawa, nikapata Ginsomin ambazo dokta alisema zitarudisha erection...
Back
Top Bottom