UTANGULIZI
Kwa takribani kipindi cha miaka 8 mfululizo nchini Tanzania (2016-2024) matukio ya watu kutekwa nyara, kupotezwa na hata kushambuliwa au kuuawa na watu wasiojulikana huku wahusika wa matukio hayo wakiwa hawapatikani yamekua matukio ya mfuatano na ya kawaida kabisa. Yalishamiri sana...
UTANGULIZI
Kwa miaka mingi toka nchi ipate uhuru walimu wamekua ndio kiwanda cha kuzalisha maarifa kwa ajili ya uendeshaji wa nchi kwa kuwatoa watu ujinga na kuzalisha Wataalamu ila maslahi yao yameachwa nyuma, hawana motisha. Mfumuko wa bei kwa miaka mingi umeendelea kuwa sio rafiki...
UTANGULIZI
Shirika la posta nchini kwa miaka mingi toka kuanzishwa kwake limekua na huduma za kusua sua huku kazi ya Usafirishaji vifurushi ikitawaliwa na Sekta binafsi huku Serikali ikipoteza mapato mengi katika eneo hilo wakati huo huo wananchi wengi wakitumia gharama kubwa kupata huduma hizo...
UTANGULIZI
Toka Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) kupata uhuru bado matatizo makuu ya nchi ni yale yale Ujinga, maradhi na umaskini, bado hakujawa na mikakati toshelevu yenye kuchochea mabadiliko chanya ya kasi kukabiliana na matatizo hayo na kulipeleka taifa mbele kiuchumi kwa kasi kama Mataifa...
UTANGULIZI
Wizara ya elimu imezindua mtaala mpya wa elimu karibuni wenye maboresho mbalimbali ambayo binafsi naona bado hayakidhi matakwa ya kasi ya sasa ya ulimwengu kisayansi na kiteknolojia. Bado tumelenga kuzalisha kundi kubwa la wasomi wasio na uwezo wa kuendana na maendeleo ya sayansi na...
UTANGULIZI
Miaka ya karibuni kumekuwa na kampeni na kiu kubwa ya wananchi, Serikali na Sekta binafsi kutumia TEHAMA kama njia kuu ya kuwezesha huduma kirahisi na kwa haraka, ila changamoto kubwa ni kwamba bado miundombinu wezeshi ya TEHAMA nchini Tanzania hususan maeneo mengi ya vijijini sio...
UTANGULIZI
Tanzania mitandao ya kijamii bado inatumika kama sehemu ya watu kutoa mawazo(stress), kupata habari nyepesi na udaku. Bado mitandao haijawa mahali salama sana kwa kizazi cha sasa na cha baadae kama hatutatengeneza mazingira salama kwa ajili ya wakati ujao. Bado haiaminiki, ina kundi...
Ile inayokatwa kwenye umeme ibaki kuwa ya ardhi pekee (pango) na ifanyike kwa nyumba zote(za makazi binafsi na za Kupangisha /biashara) ila za kibiashara zote za Kupangisha za makazi na biashara zikatwe hii ya kufanya biashara
Point yangu ni kwamba biashara ya upangishaji sio sahihi kukatwa...
UTANGULIZI
Halmashauri nyingi nchini zimekua zikitumia vyanzo vya mapato vile vile miaka yote, hakuna ubunifu wa vyanzo vipya, halmashauri nyingine zimekua mizigo kwa Serikali kwa kutegemea fedha nyingi kutoka Serikali kuu ili kujiendesha huku zikiwa na vyanzo vingi vya mapato ambavyo...
UTANGULIZI
Kumeendelea kutokea matukio mengi ya uhalifu nchini Tanzania yenye viashiria vya kuwepo tatizo kubwa la afya ya akili miongoni mwa wananchi. Miongoni mwa matukio hayo ni visa vya mauaji kutokana na visa vya wivu wa mapenzi, watu kujinyonga, kujiua kwa sumu, uraibu wa kamari, ubakaji...
UTANGULIZI
Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
1.IUNDWE TUME YA UDHIBITI UBORA WA MIKATABA NA USHAURI KWA SERIKALI (National Commission for Contracts Review and Consultation)
Iwe taasisi huru yenye jukumu la kupitia mikataba yote ya kimkakati inayohusu fedha za umma. Taasisi hiyo ihusike kuchambua kwa kina mikataba yote kwa mapana yake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.