Recent content by Xpéndablè

  1. X

    JamiiForums Tanzania kwa wale wana'Udom'

    Kwa nilivyoambiwa zle Direct costs unaweza kulipa kwanza 200000 'ie' pa1 na hyo accomodation humo humo, then na angalau nuxu ada then boom likitoka pesa yako ya accomodation utaifidia humo humo
  2. X

    JamiiForums Tanzania kwa wale wana'Udom'

    pouwa haina mbaya let me think twice...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wa udom wanaohitaji laptops [computer ya mkononi] zipo chuoni palepale

    2pia viwango vya bei na aina zake hapo 2jue kama kweli kuna unafuu
  4. X

    JamiiForums Tanzania kwa wale wana'Udom'

    thanx mkuu.. Xaxa mkuu kp bora kulipa Medcal Capitation au kujiunga na NHIF? Je, iwapo nitajiunga na NHIF je watanilazmisha nilipie na hyo Medcal Captation fee?
  5. X

    JamiiForums Tanzania kwa wale wana'Udom'

    Habari zenu bhanah.. Ningependa kupata uchangaunuzi kuhusu suala la Medical Capitation fee(100000) ambalo lipo kwenye list ya Direct costs na suala la kujiunga na National Health insurance fund Tsh 50400/year ambayo imetangazwa na chuo cha Udom.. Kwa mimi hiv vitu viwili vinanichanganya xana...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    thanx alot mkuu.. Ila kama mm kwa pesa hyo nina 100% mbona kuna mwenzangu amenizd ana M3.4 na 2po facult moja chuo kmoja na yeye atakuwa na ngap xaxa si itakuwa imezd hata hyo 100%.. Ufafanuzi tafadhali mkuu..!
  7. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    umexomeka xana 2 mkuu..
  8. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    Niaje (kaka)Ze dudu, Naomba nisaidie hapa mimi nimepata 3299500 na ada ni 700000 then nina field.. Je nina% kama ngapi hapo? Plz msaada
Back
Top Bottom