Labda muibe kura mwaka ujao hima watanzania tumechoka kuongozwa na wakoloni weusi..hadi watt wao na wake zao wanautafuta ubunge..wananchi kataeni ufalme...hakuna watu wengine?tumenyanyaswa vya kutosha!sasa basi wakati umewadia!
Jamani mm nashindwa kuelewa..lbd wakuu nielewesheni..hv CAG na TAKUKURU si ni vyombo vya serikali..na wakuu wake si waliteuliwa na rais? Rais anashindwa nn kuwaita wamfafanulie kiundani ili atoe uamuzi wa kutimiza maazimio ya bunge!..pamoja na kuwa tunasita kumhusisha moja kwa moja na wizi...
Wewe ndo mjinga wa mwisho..i hope wanakutumia..mwisho wa siku utabaki kama ganda la muwa umekauka bila hata kiberiti unawaka!wenzako magamba wanakula vinono...kurupuka kwenye usingizi..ikomboe nchi yako toka kwa mkoloni mweusi!shauri yako utaachwa umebun'gaa!
Kuna dalili zote magamba watapigwa chini na wananchi uchaguzi ujao cha msingi tu ni kwamba viongozi wa ukawa hamasisheni wananchi wajiandikishe kwa wingi hasa vijana..maana ndo mtaji wa nguvu wa ukawa..tumechoka kutawaliwa na magamba..nchi haina mwelekeo ..wabunge wao hawana hoja..vilaza wanakaa...
Hapo mkuu umenena inakuwaje pesa nyingi namna hiyo zaidi ya Bilioni 3 zinaingizwa kwenye ac ndogo ndogo ambazo nina uhakika ac hizo hazijawahi kuingiza pesa kama hizo toka zifunguliwe..its a shame indeed!..tunataka huyu Ruge ahojiwe aliwaingizia kwa minajili ya nn?hiyo ni bank ya kanisa..maadili...
Mkuu hapo nakupa hongera zangu..fotage zote zitakuwepo ..kama wao wa magamba wanavyotaka kujisafisha..ndivyo na stanbic bank nao wanataka wajinasue kutoka kwenye lawama hii...ngoja tuone itakuwaje!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.