Marumbo Kisarawe Pwani
Ekari Tsh 700,000/ nina Ekari moja na robo ntakuuzia 1.2m.
Wanao nizunguka wanafanya kilimo cha machungwa,maembe na miogo..mto upo jirani ukihitaji kilimo cha kumwagilia
*Mtindo wa maisha
*Wanaishi umri mrefu,the more the age the more exposed to cancer
*Wana matibabu bora rahisi kujua uwepo wa kansa...huku kwetu mzee akifa wanasema kafa sababu ya uzee
*Maisha yao yamejaa strees na kuzunguka katika viwanda au maeneo yenye uchafuzi wa hali ya hewa
*Genetic
Hiyo ilifanyika katika air cooling system kama ya mafriji,kama sikosei ni theory inaitwa MPEMBA,Sijawahi ijalibu katika mifumo ya Ice block sababu yenyewe haiganishi kwa kutumia hewa.
Simple bila complications ni hivi:-
Maji yanachukua nafasi ya "pressure fan", pressure fan kazi yake kubwa ni ku-force oxygen ichanganyikane na oil ili upate moto wenye combustion nzuri...
Sasa usipo tumia fan itakulazimu utengeneze chemba, ambako utaweka maji moto,yale maji moto...
Kama unakutana na changamoto au una maswali yoyote kuhusu mashine au vifaa vilivyotajwa hapa chini, usisite kuuliza. Nitakuwa hapa kujibu maswali na kutoa ufafanuzi.
1. Ice Block Making Machine
(Mashine ya Kugandisha Barafu za Tofari).
Mashine hii inatengeneza barafu katika muundo wa tofari...
KAMA UNA JUMBA LA FRIJI,NA UNATAKA KULIGEUZA KUWA INCUBATOR
BEI HIZI HAPA
BEI MASHINE AUTOMATIC UMEME JUMBA LA FRIJI KWA Tsh.
*Inageuza mayai yenyewe
*Inacontrol joto na mvuke yenyewe
Mayai 90=automatic....350,000/-
Mayai 180=automatic.....500,000/-
Mayai 280=automatic......650,000/-...
Unayo friji ya zamani ambayo haitumiki? Badala ya kuitupa, ibadilishe kuwa incubator ya kisasa ya mayai na uanze biashara yako ya kutotolesha vifaranga! Huduma zetu ni za gharama nafuu, bora na za uhakika kwa kila mteja.
Faida za huduma yetu:
✅ Tunahakikisha ubora wa kazi.
✅ Unaokoa pesa na...
Nimejiajiri...ila bado nahitaji mawanda mapana zaidi ya kutekeleza kile ambacho naweza kukitoa kwa jamii...utekelezaji wa miradi yenye kuleta positive change kwenye jamii.
Yani naamaana nisiishie tu kutoa service mtaani ila niweze kuleta revolution katika kutatua matatizo ya jamii kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.