Sio la kujivunia hilo. Amuungae kimawazo mpumbavu nae ni mpumbavu tena wa zaidi. Hicho chungu cha Tanganyika unachokiringia na kujivunia kinachukua huo msaada kupeleka Zanzibar kutoka mifukoni mwa watanganyika maana ndio wanaolipia ya Zanzibar. Walipa kodi. Marudio ya uchaguzi haramu, ulinzi kwa...
Mie nahesabu vichwa maputo tu humu. Kama unailinganisha Zanzibar na Russia na tena uko serious basi wewe hicho kichwa puto inaonyesha kimejaa halogen. Na kipepee kiache mwili ili wapate kufaidika kunguru kuliko kujaza idadi ya walimwengu tahira
Hawa viongozi wa CCM walipozaliwa mishipa yao ya aibu ilibaki matumboni mwa mama zao kama ulivyokatwa na kukauka umbilical cord na kuanguka maana hauna matumizi tena!
Maalim Seif kakosea. Angejitangaza tena jana jioni kama kashinda uchaguzi huu wa marejeo. Je, angeufuta tena Jecha uchaguzi akasema urudiwe tena upya baada ya miezi mitatu?
Tusubiri tuone pale atakapokupokonya tonge toka mdomoni mwako na kuwabaka dada zako, mamaako, mkeo pamoja na wanao kama utakuwa ungali mwenye kushadadia ujasiri wa prezdar wako ya kuwa ayafanyayo ni katika kutenda mabaya kwa makusudio ya kufanya mazuri!
Maoni yako madhubuti mkuu. Wengine tumezaliwa katima michanganyiko ya Watanzania halisi wenye roho nzuri kama zako hivyo tunajua kama struggle ya zanizbar sio ya wanzanibari tu, ni ya wote wenye nyoyo safi kama yako na wako wengi. Mungu aangamize uroho na ukatili wa wachache na aturudishie amani...
Wakiuana wazanzibar usidhani kama bara itakuwa salama. Haitakuwa wewe wa kwenda kuzika, mauaji yatafika bara na wewe uliopo bara pia utakuwa umeathirika. Mazishi yatawafika huko huko na hapo ndo mtakapojuta. Acha uchochezi kwa kuwaombea wenzako mabaya. Hujafa hujaumbika....
lack of constructive argument...
La kwanza, sijasema na hamna aliesema kama tunapigania waarabu warudi. Idiotic Mada hapo juu inadai ya kuwa mimi na wengineo wote tulio mchanganyiko wenye asili ya kiarabu turudi kwetu sababu Pemba sio kwetu, mada ambayo ma idiot kama nyie mnazidi kuishangilia...
Alaa... kumbe! Pale mlipodai uhuru Tanganyika kutoka kwa wakoloni, ungetumia logic hii uliyonambia mimi ya kuwa uhuru ni subjective? Palestina na Israel kwa taarifa yako hawagombanii uhuru. Hizi ni nchi mbili tofauti zilizo jirani.... wanachogombania ni sehemu iliyo mpakani kila mmoja akidai ni...
Tena hapo ndio ninapokuona ya kuwa uko handycapped kiuwanaadamu hata kiakili... ya kuwa uko so convinced kama Zanzibar ni kama mtoto haiwezi kuachiwa. Hapo mlipopewa nyie uhuru na wakoloni wangetumia lugha hiyo mngesemaje? Tangia uhuru mpaka leo taifa limefika wapi? Wewe uko brain washed, sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.