Recent content by xkl

  1. X

    Presidents Kagame and Kikwete hold talks on the sidelines of the ICGLR Summit - Kampala

    Usiposettle ndani inaoverflow kwenda nje..
  2. X

    Sijui Nifanyaje

    Wana MMU, niko katikati na sijui cha kufanya. Sio mzuri sana wa kuelezea lakini nitajitahidi ili mpate picha halisi ya ilivyokuwa na ilivyo sasa. Nilimpata msichana amabaye baada ya muda mfupi sana wa kufahamiana tukaanza kukaa kinyumba, bila mimi kuufahamu undani wake na yeye kuhufahamu undani...
  3. X

    Makamba Jr: Sioni mtu mwenye sura ya urais/uwaziri kwa wapinzani

    Hawa jamaa, ukiangalia kwa umakini utagundua aiili zao zimedumaa... Ni miaka mingi sana akili haijafanya kazi.. Na wajakosa hata kauli za kutumia na hawajui fha kufanya ili kuokoa fhama chao zaidi ya maneno ya kusutana kama kama waimba taarabu. Hawaoni kabisa kipi ni maslahi ya taifa, wameshasahau..
  4. X

    Huko CCM kuna mambo kwa kweli

    Naona hawana wasiwasi, maana zipo na zitaendelea kuwepo
  5. X

    msaada plz nimechoka kukaa kwa ndugu

    Rafiki, maisha ni magumu sana usawa huu. Na kuna elimu ya maisha ambayo haipatikani darasani inapatikana kwa kupata ugumu wa kufika pale unapotaka kwenda... Kwa sasa wewe haka ni kapanya tu ka ugumu katika maisha yako, learn something from it kwa sababu matembo ya matatizo hayajafika bado...
Back
Top Bottom