Recent content by xkamzy

  1. X

    Natafuta vifaranga Aina ya Kuroiler

    Wadau, Natumaini Nyote mu wazima wa afya. Nahitaji vifaranga aina ya kuroiler aged from 1 day to 1 month....au mwenye network anipatia mawasiliano ya mwenyenavyo me napatikana Mwanza!! 0754542300
  2. X

    Nahitaji kiwanja Mwanza

    Nahitaji kiwanja katika mji wa mwanza maeneo ya Nyegezi.. namba yangu ya simu ni 0754542300..............
  3. X

    Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    mawasilianoooo mkuu.....mnapatikana wap? even simple advertisement shida kuinyooosha.... hii inatupa bad image ya hii real estate by portrait like ni wababaishashaji.....
  4. X

    Nahitaji chumba

    Niko Dar es salaam kwa muda wa miezi mitatu nilikuwa nahitaji apartment or chumba ambacho ni cha selfcontained kiwe na kitanda + godoro, budget yangu ni Tsh 300,000/= kwa muda wote wa miezi 3. Napendelea kiwe kinapatikana maeneo ya magomeni mapipa kwelekea mjini ya kariakoo or posta...
  5. X

    apartment

    Niko Dar es salaam kwa muda wa miezi mitatu nilikuwa nahitaji apartment or chumba ambacho ni cha selfcontained kiwe na kitanda + godoro, budget yangu ni Tsh 300,000/= kwa muda wote wa miezi 3. Napendelea kiwe kinapatikana maeneo ya magomeni mapipa kwelekea mjini ya kariakoo or posta...
  6. X

    TASAF wamesha-shortlist?

    Trance M matoke vip tuko wote...?
  7. X

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    mkuu na me pia naomba unipm contact zako!! vip kuhusu chicken cage jamaaa pia wanadeal nazo au hapa kwetu naweza pata wap?
  8. X

    TASAF wamesha-shortlist?

    Me ni miongoni mwa watu tuliopiga interview pale TASAF makao makuu mwaka jana tareh 18 september, Na nimeshataarifiwa kwamba nmefaulu katika usaili huo na Tarehe 1 july ndo natakiwa kureport kwa ajili ya kuanza mzigo. Kwanza napenda nimshukuru sana Mungu kwa fursa hii ya pekee, kwani ile...
  9. X

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Wana JF, Ninaandaa mpango biashara wa ufugaji wa kuku, ninahitaji kuwa Incubator kwa ajili ya utotolesha wa vifaranga kuanzia 1000-2000. Sina uzoefu wa kutosha na hizi incubator kwa hiyo na msaada ili kufahamu ni incubator ya aina gani ni bora zaidi na good userfriend katika umeme, Na bei yake...
  10. X

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Wana JF, Ninaandaa mpango biashara wa ufugaji wa kuku, ninahitaji kuwa Incubator kwa ajili ya utotolesha wa vifaranga kuanzia 1000-2000! Sina uzoefu wa kutosha na hizi incubator kwa hiyo na msaada ili kufahamu ni incubator ya aina gan ni bora zaidi na good userfriend katika umeme, Na bei yake...
  11. X

    Nafasi ya kazi Dodoma

    asante balozi ntajitahidi niwaone!
  12. X

    Nafasi ya kazi Dodoma

    Hapana mkuu nimemaliza at UDSM Last year!!
  13. X

    Nafasi ya kazi Dodoma

    Ndugu zangu ndo maana nikaweka sifa ambazo ninazo, sasa kama imefikia hatuwa mtu mwenye bachala anaweza fanya biashara ya kuuza maji....! Inatia walakin fikra za watu wanakurupuka na kuandika kazi kama ya ulinzi, kuuza maji! Hebu tuwe watu makini if you have nothing value to add just pita...
  14. X

    Nafasi ya kazi Dodoma

    Naidhalilisha kivip Ndugu!?
  15. X

    Nafasi ya kazi Dodoma

    Nimekupata balozi! nauhakika wa kuweza kufanya kazi katika NGO yoyote isipokuwa zinajihusisha na mambo ya afya, usimamiz wa biashara, bank, Saccos na kwenye taasis mbali mbali ambazo mtu aliyesomea uchumi anaqualify!
Back
Top Bottom