Recent content by xisnotx

  1. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anapenda maisha ya matawi ya juu

    Nilikuwa nikidhani ati bibi yako hupenda bhangi nikijiuliza anapinga nini na vile ako na bahati? Ati matawi za juu hahah
  2. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    Enyewe naona tu niachana na hii stori...kusema ukweli haikuwa maoni bali tu mawazo.Tena kazi kingekuwa ngumu na tena ashanilenga. Maisha ngumu walai
  3. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    There are people I don't want reading all this.
  4. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    Nilimwombea mungu usiku kabla nilale na niliamka mchana asubuhi na kuanza kusoma bibilia. Nikapata hizo mawazo nikiwa ninasoma. Mi ni mwenda wazimu, sindio? Nimejaribu kuisahau lakini nimeshindwa. Imenitisha mbaya hadi nikarudi huku Kenya kwa kuogopa. Sijui nitaendelea kwa maisha aje. Saa...
  5. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    Si nimesema tu hivi? Sioni tofauti kati ya hii na kenye niliandika. Kama ni matusi, nitusi mimi mwenyewe. Kwanza sijakataa, naona niko na shida. Lakini sio lazima wakenya wote wachongolewe juu yangu.
  6. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    Sio ati naitaka..yaani ni vile nimeona hivyo. Si nilisema ilinitisha? Pengine mi ni mwenda wazimu hapo sijakataa. Hii ndio maana hii mambo ya mungu niliishuku mapema. Yaeza kakuroga..
  7. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    Sijasema hivyo..nimesema nilikuwa nikisoma vile Yesu atarudi wakati nilipatwa na hio mawazo wa kumwoa bibi mgani. Mtoto wangu atakuwa mtoto wangu. Hayo mengine nitaiwachia wengine...
  8. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    26 Na shida ni huu kamsichana ni mtoto wa 18. Hiyo ni shida ingine ata sijataja.. Unaiulizia nini?
  9. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    Aiiye nimeandika vizuri, mbona mi huwaelewa na nyi mnashindwa? Ama mnataka niandike hivi: "Ni kwa nini mimi ninawaelewa na nyinyi mnashindwa kunielewa?" Hayo mmetamka, lakini? Najua nyi mTz huwanga na kiswa fiti kuliko wengi lakini mngejifunza kiswahili za wengine...sasa, mKongo angekukujia...
  10. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    Nairobi... Soma pole pole utaelewa...sijakuja kuwaandikia, niko na mashida huku nahitaji maoni zenu. Inabidi nikuje huko dar nijue kiswahili yenu vizuri mwanze kuniskia Kwanza kiswahili hicho ni cha urahisi ningeanzana na kiswahili cha kiundani kungekuwa wachache wangeiielewa
  11. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama umeambiwa kitu na Mungu, unaezaje kuamua tofauti?

    Hi, habari zenu, please understand, lugha ni ngumu kwangu lakini kuna swali ningependa kuwauliza. Mambo ya udini huwa ngumu kwangu yaani tangu nikiwa mtoto hata kumwaminia Mungu hakikukuwa kitu cha kuhakikisha kwangu. Lakini kulifika siku niliumwa sana kwa kukosa msichana/ nikaamua kumwombea...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Hivi "Ga" lina asili na Kiswahili?

    kwetu tunatumianga -nga sio -ga nakubali kwamba -nga hutumiwa kumaanisha "huwa" lakini eleza neno "huwanga". haungesma "huwa huwa" kumaanisha "huwanga"...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Binuru maana yake nini

    alamsiki ni kusalimiwa kwa jioni usiku binuru ni kuitika kwamba ata kama kuna giza, ama, kaa giza kinakuja, bado kwako kuna nuru...bado unaeza ona..
  14. X

    JamiiForums Tanzania Wasomi nimeshindwa kuiweka maneno haya kwa kiswahili

    sihakikanangi ujamii wa uutu
  15. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempenda sana huyu binti ambaye yuko chini ya umri wangu

    Nishaanza kulia juu yake. Naogopa sitamweza. Ata kulala ni ngumu juu yake. Kukula, kusoma, labda ata kuandika vile wengine hawanielewi..
Back
Top Bottom