Recent content by XinKumi

  1. XinKumi

    JamiiForums Tanzania Naomba usaidizi: Uume hausimami

    Kaka, fanya kubadilisha matumizi. Nenda hospital watoe hiko kifaa uwekewe cha jinsia pinzani na maisha yaendelee. Kama lengo lako ni kwa ajili ya kustarehe.
  2. XinKumi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuelekea Maandamano ya D9: GenZ watoa waraka wa utaratibu wa kuundwa kwa Serikali ya mpito Tanzania

    "Amani haipatikani, ila kwa ncha ya UPANGA"
  3. XinKumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    5PK72R 5 odds Sportybet
  4. XinKumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Haya, bado yenu matatu.
  5. XinKumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

    Mashabiki wa Dar hawana mzuka kabisa. Michuano hata wailete na mikoani maana ndio mitoko yetu hiyo
  6. XinKumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

    Burkina Faso kipa wanae
  7. XinKumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

    Bacca ana akili sana
  8. XinKumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

    Mudathir mchezaji wa kwanza kupata kadi ya njano. Abdul Suleiman Sopu mchezaji wa kwanza kufunga goli.
  9. XinKumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

    Iddi Nado na Feisal
  10. XinKumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

    Mudaaa.. Amekosa
  11. XinKumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

    Kapombe anacheza kama winga wa kizamani, anakimbia na chaki akifika mwisho anataka aweke majalo bila kuangalia beki wa upinzani amekujaje.
  12. XinKumi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

    Ifikie kipindi hawa watu wa TFF wawe wanaangalia na matukio mengine kuyaleta mikoani. Kila kitu Dar, halafu huko Dar kwenyewe hawana hata hamasa. Uwanja upo mweupe kuliko hata emptyhad wa Man City.
  13. XinKumi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Huyu mzee aliamua kuacha kazi TRA Keko pale na akaupata ubunge. Naona ameamua kurudi tena bungeni.
Back
Top Bottom