Recent content by xhuma

  1. xhuma

    Mshikaji ahack akaunti ya Mark Zuckerberg kuprove point...

    Kweli waarabu hawana historia hiyo ila wapo wengi, kuna group ya Kipalestina ya Hackers wanapiga chini server za wamarekani kulipiza kisasi cha Vita za mMarekani.
  2. xhuma

    Mshikaji ahack akaunti ya Mark Zuckerberg kuprove point...

    Mpalestina mmoja aliamua ku-hack Facebook wall ya Zuckerberg baada ku kutoa taarifa Kwa facebook kuwa kuna bug na jamaa wakadharau kuwa hiyo sio bug. Jamaa akaamua ku-hack Facebook wall ya Zuckerberg na kumuandikia mzee mwenyewe! Mbaya zaidi hawa jamaa wamemnyima 'bug bounty' pesa ambayo mtu...
  3. xhuma

    my Best Three Password Management Tools

    Imagine una account ngapi online na security unatakiwa kuwa na password tofauti kwa kila account unayokuwa nayo! lazima usahau, nime compile tatu hapa zote zina Plan za Free zinaweza kukusaidi kuhifandi login details zako, hii Passpack naona ipo poa as unaweza itumia ukiwa kwenye computer yyte...
  4. xhuma

    Namna ya Ku-secure wireless Network yako!

    Pamoja mkuu, tunagaiana maujanja!
  5. xhuma

    Namna ya Ku-secure wireless Network yako!

    Ingawa hackers wana njia nyingi za kuingia kwenye network lakini ni bora kuchukua tahadhani ndogo ndogo na rahisi kujiweka sawa angalau mtu asiweze kuingia kwenye net yako kirahisi, nimeandika guide fupi kupunguza uwezekano wa wireless Network yako kutumiwa na mtu mwingine: Icheki Hapa
  6. xhuma

    Top 5 Facebook Scams You Need To Know - Kwa faida yako

    Wanasema Scammers walikuwepo hata kabla ya internet kuaza lakini Internet imewafanya wafanye kazi yao kwa umakini na uwezo mkubwa zaidi. Sasa Hivi Facebook ndo nyumbani mwao yani wamejaa mpaka hata mtu smart unawezajikuta unashawishika. Nime blog Top 5 na maelezo yake, zicheki usiingie mkenge...
  7. xhuma

    TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

    Nilitupia hii guide hapa wiki mbili zilizopita, unaweza kupata maelezo ya ziada kwenye hii post Gonga Hapa
  8. xhuma

    Google wamekuja na kitu kipya tena!

    In no doubt issue ya Internet za mafungu itakuwa kikwazo kwenye kutumia device kama hii kwa hapa bongo! Kusttem video zina-consume bandwidth kubwa tu, so kama mie niliezoea kununua 1GB yangu kwa wiki sitoboi hii kitu kabisaaa!
  9. xhuma

    Google wamekuja na kitu kipya tena!

    Mkuu labda vile upo Pasadena, nimeskia ipo tayari ebay nadhani tunaweza nunua ila kweli kibongo bongo na net ya kupima sijui itakuwaje!
  10. xhuma

    Google wamekuja na kitu kipya tena!

    Juzi wakati Google wanatangaza kuzindua Jellybean 4.3 na Nexus 7 wamekuja na haka kakitu kwa ajili ya Ku stream video na audio moja kwa moja toka kwenye TV yako kutumia wireless na port yako ya HDMI, cheki maelezo yake hapa
  11. xhuma

    Google Adsense

    Jombaa @Ngalewa unaweza kuweka ads kwenye site za kiswahili lakini ni baada ya kuwa approved, ingawa kiswahili bado hakipo kwenye lugha zao, cha muimu ni lazima site unayoanzia nayo - primary dmain iwe ka kiingereza, mafano mimi nilijiunga na http://alltechdiary.com lakini ndio wakanikubali...
  12. xhuma

    Hivi, hii kitu itakula kwangu au haitakula????

    Wapi huwaelewa mkuu nikusaidie, kwa summary bei ya computer si mbaya na kwa kazi unayotaka kufanyia naweza sema kama ni asilimia ningeipa 40% kwa uwezo wa kuedit picha na videos.
  13. xhuma

    Hivi, hii kitu itakula kwangu au haitakula????

    Ki mtaa mtaa bei simbaya, tho kama chokamb alivokushauri hapo Mshushe hata 250, kuhusu uwezo wa kuweka ADOBE I hope unamaanisha adobe Photoshop, yes inaweza kubeba tho inategemea na Version gani unaweka, coz ina meet minimum requirements za Photoshop like CS 5 inataka 2GB RAM Recommended, sina...
  14. xhuma

    Hii Guide inakufaa kama unataka kuficha Last Seen Status kwenye WhatsApp

    Kama unatumia BB tumia njia hii hii ya ku off data, nenda settings kisha Network and Connections, Ingia mobile Network then weka Data services Off, hapo fungua Whatsapp yako, soma msg na kama unataka jibu, funga Whatsapp then enable data. make sure hufungui Whatsapp ukiwa na data on, else app...
  15. xhuma

    Hii Guide inakufaa kama unataka kuficha Last Seen Status kwenye WhatsApp

    Sijui unatumia simu aina gani lakini nimetumia njia hii muda sasa na app haijaweza kuresgister last seen wakati nikiwa nishaifunga. wakati huo inatuma msg zote nilizoandika nikiwa nime-off data kwenye simu yangu.
Back
Top Bottom