Tumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa.
Tanzania amka.
Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita.
Tunahitaji maombi ya kitaifa na kuangalia wapi tumejikwaa na wapi tunaelekea.
Kwa maelezo ya Mtaalam wa maji inawezekana wanaoitwa wataalam wanachelewesha maendeleo. Ikiwa vifaa vipo kama ilivyoonekana ilikua ni kazi ya usiku na mchana maji yapatikane.
Kuna machine nyingi za kuchimbia ikiwa hata ikitumika tractor la kijiji kulaininisha udongo mabomba yapite ni sawa.
Ni...
Swala ni muda. Na urahisi. Kama ni swala la uchumi marching guys wangeruhusiwa wauze karanga uwanja wa ndege. Waunganishe miundo mbinu. Italeta maana kupunguza muda wa safari.
Kwa akili hizi za mpanuko wa miji ndio hutuletea shida. Huwezi kutumia masaa 4 kutoka Dar mpaka Dodoma na unataka kuunganisha Babati, Iringa Singida etc Uje uzuiwe masaa mawili kwenye kuunganishwa.
Miji yote mikubwa iliyopangiliwa inaangalia hili. Tutalitambua hili tumeshachelewa tuishie...
Asante wachangiaji. Mipango miji inabidi ifanye kazi kwa kuwasiliana na uhalisia. MUDA NI RASILIMALI MUHIMU.
Ni muda muafaka wa kuanza kuangalia ni jinsi gani ya kuunganisha uwanja wa ndege wa Msalato, sgr na stendi ya nanenane na mji wa serikali ikiakisi zaidi ya miaka 100 mbele.
Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida.
Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha...
Kutumia risasi za moto kutuliza vurugu si sawa. Hasa kwa chombo ambacho wananchi wanadhani kimeundwa kuwalinda na kuwaonyesha njia ya amani.
Hakika damu haiendi bure, roho zinazotolewa kabla ya muda wake zitaililia nchi na nchi haitakuwa sehemu salama. Ni vyema weledi na hekima ikatumika katika...
Tukizoea uuaji hasa wa ndugu zetu damu itawalilia wauaji, taifa na vizazi. Hakika Damu na roho ni nzito. Nzito hasa. Wauaji msitekeleze hilo kwa huyo na wengine ili mjiokoe na kuokoa Taifa. Mungu hadhiakiwi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.