Recent content by Xecond

  1. X

    JamiiForums Tanzania Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

    Hao hao FIFA wanaopewa lawama na mashabiki wa Ronaldo wamempa kombe la dunia Messi ? [emoji23][emoji23]
  2. X

    JamiiForums Tanzania Wanaoamini Yanga haitafuzu, waacheni waamini watakavyo

    Huyu si alisema akifika Sudani ataanza kukwea Ngamia na kuswamba nao kitaa... imekuaje tena ? [emoji23]
  3. X

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Azam Complex ukubwa wake ni sawa na Uwanja wa Ben Mkapa?

    Siku ya azamka nilimsikia mchambuzi akisema pitch ya azam complex na ya kwa mkapa zote ni sawa kwa ukubwa, zikiwa na urefu wa 105 upana nimesahau.
  4. X

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Kwanza yule mzee hafai hata kuitwa jina kocha, yule babu ni fundi Bomba.Nchi za wababe kama waarabu yule analambwa kichuri kabla ya kutolewa mbio Nchini mithili ya paka shume
  5. X

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Hivi viongozi hawa mafundi bomba wa rangi nyeupe huwa wanawatoa wapi?? Au ndio yale mambo ya tenpercent. kocha anabahatisha mpira kama kilimo cha nyanya
  6. X

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Hivi nyie viongozi wa simba mtatoa excuse gani yanga anatudunda mara mbili mfululizo kama underdogs HUU NI UPUMBAVU NA HAUVUMILIKI.
  7. X

    JamiiForums Tanzania Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Kuna settings zozote mzee ?
  8. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Tabora kata ya kidogo chekundu wamechangua walimu tupu kmmke zao aisee nime maindi kinoma
  9. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    [emoji1787] ndio itakua nishakosa mpaka sasa najiandaa kuaga humu na kukuimbia uzi
  10. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Dahh kddk pole sana mzee, sisi mpaka sasa ngoma bado nyaunyau, TABORA utabaki kuwa mkoa wa hovyo sana kutokea ndani ya hii nchi ya WALALAHOI
  11. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Tabora kuna mambo ya kishenzi sana huu mkoa utakua ulilaaniwa
  12. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Yaaan ni balaaa [emoji1787] huku Tabora mpaka sasa ngoma bila bila
  13. X

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Pole sana mkuu, Wapi hiyo?
Back
Top Bottom