Application ya FILDO ni nzuri xana hasa kwa wapenz wa mziki kwa sababu inakuwezesha kudownload nyimbo za mbele pamoja na album yenye full track kwa wakat mmoja mm ndo huwa naitumia ila km unaifahamu nyingine ambayo unaweza kudownload album tujuzane maana mm huwa napenda kudownload album za mziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.